Njoo kahama nije Dodoma manispaa,
Mi ni mwalimu wa sekondari kwa mawasiliano call # 0685265515 au 0752340060
 
Njoo tabora urambo nije dodoma,morogoro,iringa,pwani au dar. Idara ya sekondari. Nipo tayari kuja wilaya yoyote katika mikoa hiyo. 0686687221
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Rombo nije Iringa wilaya ya Mufindi(Idara ya sekondari)

Njoo Geita - Chato nije Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Tanga wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Mawasiliano:0767425007
 
Nafuta mwl wa kubadilishana naye idara ya sekondar,yeye aje serengeti mkoa wa MARA,kutoka kati ya mahenge,mlele,nkasi,chunya,ushirombo,mbogwe,urambo,mvomero,hanang au ruvuma.
 
Simiyu kuna wilaya ya BARIADI,MEATU,MASWA,ITILIMA NA BUSEGA nani aje meatu mm niende BABATI. Idara ya msingi. 0764556647
 
Simiyu kuna wilaya ya BARIADI,MEATU,MASWA,ITILIMA NA BUSEGA nani aje meatu mm niende BABATI. Idara ya msingi. 0764556647
 
Nipo halmashauri ya Lindi nahitaji mwl wa kubadilishana nae mimi niende Wilaya yoyote mkoani TANGA,,Kibaha,,na Morogoro
 
Njoo kahama nije Dodoma manispaa,
Mi ni mwalimu wa sekondari kwa mawasiliano call # 0685265515 au 0752340060
 
Wanaohitaji kubadilishana;

Njoo Tabora - Nzega nije Iringa au Njombe wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Rombo nije Iringa wilaya ya Mufindi(Idara ya sekondari)

Njoo Geita - Chato nije Mbeya wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Njombe nije Tanga au Mtwara wilaya yeyote(Idara ya msingi)

Njoo Njombe - Ludewa nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Njoo Babati - Manyara nije Iringa wilaya yeyote(Idara ya sekondari)

Mawasiliano:0767425007
 
Njoo Lushoto Nije Kati Ya Korogwe, Muheza, Tanga Mji, Moshi Manispaa Au Dodoma Manispaa. Idara Ya Elimu Sekondari. 0717008771/0683436242
 
Back
Top Bottom