kutoka wap?
kutokea mwanza mjini.
kutoka wap?
njoo iringa nije dar sec.
kutokea mwanza mjini.
Jamani kama ni hivi hakuna ufanisi wa kazi kabisa
hapana, nilikuwa nahitaji kutokea mwanza ndugu.
hapo sio kwenu kwani.
Yani mna ukabila ni bora mngeenda kenya,rwanda,burundi ndo zinawafaa.dhambi ya ubaguzi itawatafuna mpka kwenye familia mana ukisema north huyu atadai natokea arusha nawe moshi,mkiwa moshi huyu atadai kwetu ni old moshi,huyu himo,kibosho au mkuu na mkiwa mkuu huyu atadai mie wa mashati,mie mkuu,mie wa kikelelwa,mkiwa mashati mtaanza mie wa koo hiii na huyu wa koo ile mtabaguana mpka mtaanza mie mromani wewe mwislamu.
Ila ndo mlivyo mna damu ya kikenya ya kibaguzi na kupenda hela kuliko mtu