mim ni Medical attendant ktk hosptal ya wilaya- Ngundu iliyoko mwanza wilaya ya kwimba.Nahitaji kubadilisha kituo na mtu aliyeko mikoa ya iringa,Na njombe. kwa mawasliano no.0758739844 Au 0785195282. Theofrida.
asante kwa ushirkiano.
 
Idara ya msingi Njoo Mbeya wilaya ya Rungwe/Tukuyu nije Tanga mjini, Lushoto, Korogwe, Muheza, Pwani.
+255 712 016 405

+255 752 943 198
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote.
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623/0784623525.
 
Njoo tabora urambo nije
Dodoma,
Kilombero
Kilosa
Gairo
Mvomero
Morogoro vijijin
Moro town
Mufimdi
Kilolo
Rungwe
Busokelo
Rungwe
m
Mbarali
Njombe
Makambako
Dar es salaam wilaya yoyote
Kilwa
Bagamoyo
Chalinze
Mkuranga
Kisarawe. nk
Idara ya secondari kama upo tayari nichek
0686687221
 
jaman kuna ofa kubwa kwa yeyote atakaekuwa tayari kubadilishana kituo cha kazi. njoo sengerema dc nije magu. (mwalimu-msingi)
 
njoo kasulu mjini nije kwetu kaskazini wilaya yoyote.
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623/0784623525.
 
Niko Halmashauri ya wilaya ya Geita ndani ya mkoa wa Geita, nahitaji kuja wilaya mojawapo katika hizi;
Bagamoyo,
Kibaha,
Morogoro manispaa,
Korogwe
na Tanga Jiji.
Kwa yeyote aliye tayari kutoka wilaya hizo tuwasiliane ikiwa utakuja Geita 0788560737
NB: Idara ni sekondari.
 
Back
Top Bottom