Njoo tabora urambo nije
Dodoma,
Kilombero
Kilosa
Gairo
Mvomero
Morogoro vijijin
Moro town
Mufimdi
Kilolo
Rungwe
Busokelo
Rungwe
m
Mbarali
Njombe
Makambako
Dar es salaam wilaya yoyote
Kilwa
Bagamoyo
Chalinze
Mkuranga
Kisarawe. nk
Idara ya secondari kama upo tayari nichek
0686687221
 
njoo kasulu mjin nije kwetu kaskazinii
KILIMANJARO
ARUSHA
MANYARA
TANGA
idara ya msingi 0753045623/0784623525 utapewa na fedha za kujikimuuu tafadhali tuwasiliane chapuuu
 
Njoo mbulu manyara idara ya elimu msingi nije arusha wilaya yeyote 0685807171,0759541948 au kilimanjaro wilaya ya hai, moshi v, moshi mjin
 
Nwashukuruni nyote kwa mawazo yenu ila tatizo ni kuwa binafsi si mwenye ombi bali anayeomba kubadilshana ni shemeji yangu mke wa kaka yangu. amepangiwa Mtwara wakati mme wake anafanya kazi Bukoba vijijini
 
Mwalimu yupo Idara ya elimu msingi Halmashauri wilaya Makete mkoa wa njombe anatafuta mwalimu wa kubadilishana naye toka wiiaya ya Misungwi Mwanza. Aliyetayari ani PM nimuunganishe naye.
 
kna ndg yng m1 ypo wilaya ya buhigwe-kgm anatafuta m2 wa kubadlishana nae aliopo wilaya ya kasulu,kgoma dc au urambo mwye no. za cm 0762420477/0655430477
 
Back
Top Bottom