SHEKILINDI
Senior Member
- Sep 13, 2014
- 156
- 3
Mwl ELIEZA idara msingi yupo TABORA-IGUNGA anatafuta MWL mwenzake wakubadilishana nae kutoka DAR ES SALAM, PWANI au BAGAMOYO.
no: 0754579235.
no: 0754579235.
nko bagamoyo chalinze idara ya sec nataka kubalishana na m2 wa geita chato mjini
mnamatatzo nyie
Anayetaka kuja karagwe mkoa wa kagera mimi nije magu, misungwi ,sengerema au nyamgagana mkoa wa mwanza. jaman nawasubir mnitafute vp hamna.