njoo mwabuma meatu mkoa wa simiyu nije sengerema,geita kila kitu ntalipa mm usafiri malazi tukiwa tunafuatilia; ;0755776047
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende
Iringa Manispaa,Iringa vijijini...idara Sekondary.0684122208
 
Mwl idara msingi yupo TABORA(V) anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka CHATO,MISINGWI,SENGEREMA.
NO:0688033985
 
mimi ni mwalimu wa sekondari, nimepangwa mkoa wa geita, wilaya ya geita, nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari kutoka mkoa wa Pwani katika halmashauri za kibaha, bagamoyo na rufiji. kwa aliye tayari anitafute kwenye namba hizi 0718 963023 au 0769 836667.
 
mimi mwalimu wa sekondari katika mkoa wa mwanza wilaya ya misungwi, nahitaji kubadilishana na mwalimu yeyote wa sekondari kutoka mkoa wa mwanza wilaya ya nyamagana au mkoa wa dodoma, dodoma manispa au wilaya ya chamwino. kwa aliye tayari anitafute kwa namba 0718 659923 au 0756 005571.
 
Mwl KIBUGA wa NJOMBE Idara sec anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka IRINGA MANISPAA.
NO:0766406327
 
NJOO DODOMA KONDOA MJINI MIMI NIJE MAENEO HAYA:-
DODOMA MANISPAA
Dsm
MOROGORO MANISPAA
IRINGA MANISPAA
ARUSHA MANISPAA
TANGA TOWN
KIBAHA PWANI
Mbeya city
MWANZA NYAMAGANA
Idara ya sekondari
#0753477905 /0716589410
 
mi mwalimu wa msng mkoa wa kagera wilaya ya kyerwa nahitaji badilisha na mtuu alieko mkoa wa Simiyu wilayA ya Bariadi 0759618809
 
Njoo GEITA nije popote pwani,kibaha,rufiji,kisarawe,bagamoyo,mkulanga n.k|Idara ya sekondari,nichek through PM Tuanze mchakato
 
Back
Top Bottom