wewe ni mwalimu (msingi, sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na jamiiforums ni kwa pm (private messages) ndani ya jf - kwa usalama wako na usiri zaidi.

muhimu:
ni vema kusema upo wapi na ungependa kwenda wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

Jamiiforums


Tangazo

Mtu yeyote ambaye ni mwalimu wa sekondari, anayetaka kubadilisha kituo cha kazi kutoka mikoa ya kanda ya mashariki [Tanga, DSM, Pwani, Mtwara, Lindi na Morogoro] kwenda mkoa wa Mwanza, wilaya ya Ukerewe, Nansio Mjini, tuwasiliane kwa namba ya simu ifuatayo:


0714 - 001 694 au 0757 039 434
 
Njooni njombe,nije mbeyajiji,mbeyawilayan,rungwe,busokelo,kyela,mbozi,momba na mbalali-idara sec-0719432283.waambie na walimu wengne.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208
 
Back
Top Bottom