Mimi mwalimu sekondari jiji la Arusha natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi kutoka katika manispaa ya Morogoro au manispaa yoyote kutoka Dar es salaam, kama unawiwa tafadhali reply humu ili tupange jinsi ya kuwasiliana.
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingatia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
Mie nipo Arusha jiji natafuta wa kubadilishana na mwalimu toka manispaa ya Morogoro aliye intetested pliz tutafutane inbox
 
Njoo MWANZA JIJI NYAMAGANA,Nami nije DAR ES SALAAM JIJI au KIBAHA MJINI,Idara sekondari:0716264618 # 0756021311(Fanya fasta changamkia fursa hili tuwahi kibali cha julai)
 
Natafuta mwalimu wa sekondar wa kubadilishana nae kituo cha kazi toka Arusha jiji mie niende Morogoro manispaa, kama unawiwa tuwasiliane kupitia 0718117784
 
Walimu kuna kundi la watsap ni zuri linawahusu walimu na wadau wa Elimu mcheki admini kwa +255768948179
 
njoo halmashauri ya wilaya ya songea mi nije ruangwa mtwara vijijini nanyumbu masasi au lindi vijijini idara ya sekondari
 
Back
Top Bottom