Mimi nahitaji kubadilisha kituo cha kazi,kutoka kasulu mji(kigoma) kwenda mikoa ifuatayo 1:Tanga
2wani
3:Kilimanjaro
4:morogoro
Wilaya yeyote ile katika mikoa hiyo.Idara Elimu sekondari,kwa mwenye uhitaji kama wangu ani pm.Ahsante
Mwalimu wa Idara ya Msingi anaehitaji kuhamia H/W NZEGA, TABORA akitokea MOROGORO, PWANI, TANGA, ARUSHA, KILIMANJARO au MANYARA kwa kubadilishana ajitokeze. Piga au tuma meseji: 0756160787/0718541913.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.