Jamani tabora mjini hampataki ,njooni basi ambao nikwenu nasie turudi kwetu.
Jamani tabora mjini hampataki ,njooni basi ambao nikwenu nasie turudi kwetu.
bado natafuta mtu wa kubadilishana nae kituo yeye aje same mimi niende kati ya iringa manispaa,njombe mjini, mbeya jiji, songea manispaa! Idara ya sekondari! Aliyetayari tuwasiliane kwa 0752206626, 0782770679
anaetaka kuja kilosa morogoro niende mufindi iringa anicheki chap chap
Unataka kuja wapi?
Vp umepata mtu wa kubadilishana nae na
upo singida sehemu gani?
we wa Mbozi huwezi kuja Moshi! 0763445535