YEYOTE ALIYEKO DAR ES SALAAM JIJI AU KIBAHA MJINI,AJE MWANZA JIJI NYAMAGANA SHULE YA SEKONDARI NYAKABUNGO: 0756021311#0716264618(wenye nia wajitokeze waje jiji wale SATO &SANGARA)
 
Mwl MYAVA idara sec yupo TUKUYU-MBEYA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka IRINGA-MANISPAA
No:0755814809
0757051788
 
Natafuta MWL wa kubadilishana nae NIKO mkoa wa kagera wilaya ya ngara idara ya msingi Mimi niende ARUSHA ,MANYARA,Kilimanjaro au tanga 0758198605
 
Mwl AMALI idara Sec yupo RORYA anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka MOROGORO;TANGA;KILIMANJARO au ARUSHA
No:0768661107
 
Njoo mtwara manispaa mm nije mwanza jiji, sengerema, geita mji na chato. idara ya sekondari. namba ya cmu 0652620272
 
Habari ya Asubuhi Wadau..

Mimi ni Mwl. wa sekondari ngazi ya Shahada katika halmashauri ya wilaya ya Mbozi ( Mbeya) natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa Arusha wilaya yoyote yeye aje Mbozi mm niende huko aliko..
anaehiyaji jaman ani PM tupigane tutoke majina ya July TAMISEMI..

Nawasilisha..

vp Mosh!
 
Njoo handeni Tanga nije
Dar manispaa yyte
Mkuranga
kibaha
Idara sec
tuwasiliane kwa
0786475050
0715475050
 
Njoo missenyi kagera karibu kabisa na bukoba municipal nije ulipo ww. Ofa hyo fasta wah kabla mwenzio hajaniwah 0713026331 idara sec
 
Mwl idara Sec yupo BUKOBA MJINI anantafuta mwl mwenzake wakubadilishana naye kutoka DODOMA MANISPAA
No:0752399130
 
Wewe ni Mwalimu (Msingi, Sekondari n,k) na unahitaji mtu wa kubadilishana naye kituo cha kazi?

Weka ombi lako hapa na wengine watawasiliana nawe.

Ni muhimu kuzingaitia kuwa, ukiweka baruapepe (email), namba yako ya simu mtandaoni haishauriwi (at your own risk). Njia bora inayopendekezwa na JamiiForums ni kwa PM (Private Messages) ndani ya JF - kwa usalama wako na usiri zaidi.

MUHIMU:
Ni vema kusema UPO wapi na ungependa KWENDA wapi ili wale wenye kutaka kuwasiliana nawe wapate urahisi wa kukutafuta ili kurahisisha mchakato.

Tunakutakieni utumishi mwema.

JamiiForums
.

Mimi Ni mwalimu WA shule ya sekondari Usangi,, naomba mtu
 
Back
Top Bottom