Nipo wilaya ya Mwanga idara ya sekondari, nahitaji kubadilishana na mwalimu kutoka wilaya ya Bagamoyo au Kibaha. Kwa mwenye uhitaji ani PM
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.0684122208.
 
Anayetaka tubadirishane kituo kuja Kahama niende Iringa Manispaa,Iringa vijijini. Idara Sekondary.255684122208.
 
Mwl mdoe idara msingi yupo Lindi anatafuta mwl mwenzake wa kubadilishana nae kutoka eidha Tanga au Morogoro popote
No: 0786280967
0756231236
 
Back
Top Bottom