Mwl anayetaka kuja mwanza kwimba mm niende mbeya. Njombe. au iringa tuwasiliane au kama kuna MTU unamfahamu tafadhali sana
 
natafuta mwalimu wa kubadilisha nae kutoka njombe, wanging'ombe, mbeya mjini, au tukuyu yeyote kutoka mojawapo ya sehemu hizo yeye aje halmashauri ya wilaya ya mufindi. Idara; ELIMU MSINGI. Mawasiliano, anayehitaji ani "PM" maana nliweka namba za simu matapeli wameanza kunisumbua
 
BREAKING NEWS
Kuna kundi la matapeli limeibuka ukipigiwa simu na m2 akidai eti alifanyiwa mpango na ndugu yake TAMISEMI na akisema sijui akupe namba ya simu ya huyo ndugu yake ili muwasiliane.... jua huo ni utapeli coz atasema umpe pesa ili akufanyie mchakato so usijaribu ndg mwl. Huo ni wizi coz anakua ni m2 mmoja anabadili sauti2 so s2ka jitambue usitapeliwe kirahisi hilo limenitokea coz najua wameshindwa kunitapeli. Namaliza kwa kusema mambo mazuri hayataki haraka its better kwenda taratibu na kwa utaratibu kuhama inawezekana. Asante sana
 
Mwl wa kubadilishana nae toka Manispaa ya Morogoro aje Halmashauri ya Korogwe, idara ya Elimu Sekondari. Ni pm kwa taarifa zaidi.
 
Mwl idara msingi yupo MWANZA JIJI anatafuta mwl mwenzake wakubadilishana nae kutoka TANGA, MOROGORO au DAR ES SALAAM ILALA au KINONDONI.
No:0766473047
 
Njoo Lushoto bumbuli, mimi nije ulipo idara sec, nje ya mkoa waTanga, wilaya yoyote uliyo nicheki tu badilishane0622536075
 
Njoo Arusha DC nije morogoro manispaa.idara sekondari.nafundisha ilboru sec. Mawasiliano 0764776655, au 0658221998
 
Back
Top Bottom