Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje halmashauri ya wilaya ya same mm niende mbeya jiji,iringa manispaa,njombe mji au morogoro manispaa. idara ya sekondari. 0782770679
 
Mwl idara ya msingi aje mkoa wa simiyu wilaya meatu mimi nije mkoa manyara wilaya babati
0764556647
0789533675
 
Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo biharamulo mjini nahitaji kuhamia dodoma.hivyo natafuta mwalimu anaye hitaji kuhamia biharamulo tubadilishane nae
 
Back
Top Bottom