StillWaters
Member
- Apr 1, 2013
- 23
- 2
Niko Moro(V) nataka kuhamia Moro Mjini.
Ni uamuzi tu hasa kutaka sogea jirani na nyumbani
Ndugu!
Juzi kati nliweka hapa bandiko la ktafta mwl wa kubadilishana naye bahti nzuri nmempata na taratibu zimeshaanza.
Kwa sasa naweza kusema nmeshakuwa mzoefu na nmekuwa mizizi mipana! Xo kwa wale wenye nia ya kuhama au kubadiliaha kituo cha kazi naomba tuwasiliane. Nambie uko wapi na unataka kihamia/kubadilisha wapi. Hamna gharama yetote.