Jaman walimu kuweni makini sana na utapeli humu ndan.kuna mtu jana kanipigia simu akidai ni afisa utumishi kutoka makao makuu dar.lakin nimeenda nae sawa kwasababu nilishapewa tahadhari.nakupa nawe mwenzangu...kuwa makin
njoo dodoma mjini (manispaa) mimi nije babati mjini, moshi manispaa, morogoro manispaa, hai-kilimanjaro
kama upo tayari 0758121353, 0684533627, 0717690221
Njoo mtwara mjini(manispaa) nije mwanza ilemela, nyamagana, sengerema, chato au geita. idara ya secondary! 0652620272