Commred chichimizi
Member
- Jan 20, 2019
- 55
- 28
Mi 5 hivi. Ila hyo ipo kwenye makaratasi tu uhalisia haupo hivyo. Hakuna formula ni jitihada zako tu. Ila kuwa makini kuna matapeli wengi sahiziJamani msaada...kubadilisha kituo cha kazi ni mpaka ufanye kazi muda gani....natanguliza shukran
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo Lindi aje Kilimanjaro, Tanga, Dodoma, Singida, Manyara, au Arusha
Mawasiliano: 0653635513
Sent using Jamii Forums mobile app
Lindi vipi MkuuNatafuta Mwalimu wa kubadilishana nae aje Mwanza mjini mi niende Mpwapwa Dodoma idara elimu ya msingi.Mawasiliano 0754350974
uhamisho umesitishwaNjoo Arusha city council ..Nije kibaha town council