Ezekiel mgonela
Member
- May 22, 2018
- 16
- 4
Niko serious ila sio huko Bukombe, Ni hapo nilipatakaKama upo serious njoo geita bukombe (runzewe),pm kama utahitaji kubadilishana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata manesi ila muwe na vyeo sawaMe naomba tu nijuzwe hivi wanaobadilishana vituo vya kazi ni walimu tu au ni kwa watumishi wote?
Nina sababu;
Kila ninaposikia au kuona suala (tangazo) la kubadilishana vituo basi wahusika ni walimu
Arusha je?Jamani mm n mwl wa msingi nipo singida kiomboi nahitaji mtu wa kubadilishana naye yeye aje singida mm niende kilimanjaro,Dar,pwani,mwanza au dodomaView attachment 945047
njoo tabora sikonge 0625651224Njoo manispaa ya Ubungo Nije manispaa ya Shinyanga