Karibu sana wilaya Lushoto Tanga nije

1. Korogwe
2. Hai Kilimajaro
3. Same
4. Mwanga
5. Moshi v
6. Rombo
7. Siha

Idara ya Msingi
Mawasiliano 0758121353
 
Njoo IRINGA ( Shule kongwe. .Ifunda Technical Secondary School); nami nije Mwanza jiji, tanga jiji, morogoro mjini, Dar, kibaha mji, dodoma mjini. Idara ya secondary.
 
Mwalimu njoo Kagera, Missenyi.
Bunazi Sec, shule iliopo Missenyi mjini.

Nije kati ya

*Kilosa
*Lindi manispaa
*Kibaha Mji
*Mkuranga
*Bagamoyo
*Chalinze
*Dar es Salaam
*Morogoro Manispaa
*Dodoma manispaa
*Singida manispaa
*Tabora manispaa
*Shinyanga manispaa
*Kahama mji
*Mwanza jiji
*Tanga jiji
*Korogwe mji
*Mtwara manispaa
*Masasi mji

[HASHTAG]#Secondari[/HASHTAG].
[HASHTAG]#Sayansi[/HASHTAG].
0765905301 & 0713131682
 
Unataka nami ninyolewe (mavumba) yangu hapana mkuu pambana na hali yako na wasukuma wako.
 
We unataka mijini tu.... unawezaona dodoma nipazur ila ukipangiwa kata za pembezon unaweza ona ni bora urudi ulipokuwa
 
We unataka mijini tu.... unawezaona dodoma nipazur ila ukipangiwa kata za pembezon unaweza ona ni bora urudi ulipokuwa
 
Mwalimu Damas Jackson natafuta MWL wa kubadilisha nae kituo .Aje Busega Simiyu mimi nije Babati, Tanga(wilaya yoyote) No:0768746977 elimu msingi
 
Back
Top Bottom