Njoo Njombe Mji aje

1.Ubungo
2.kigamboni
3.chalinze
4.kibaha
5.Temeke
6.Bagamoyo
7.kisarawe
8.Ilala
Idara sec

0759007829

commred Chichimizi
 
Habari Ndugu,

Mimi ni mwalimu wa Shule ya sekondari iliopo wilaya ya hai na natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo toka Hai na kuja mkoa wa Dar es salaam. Nitashuru sana kama wa kubadilishana nae yupo wilaya ya Kinondoni au Ubungo.

Nimethibitishwa na nina TSD no tayari.

Nipm kama uko tayari kubadilishana
 
Back
Top Bottom