Kama unahitaji chimbo la jezi high quality, mcheki huyu jamaa

0622882036
naomba na machimbo ya hvyo vitu
Screenshot_20230618-144526_GBWhatsApp.jpg
Screenshot_20230616-173330_Instagram.jpg
Screenshot_20230607-105949_Instagram.jpg
 
Kwa wadau Wanaohitaji kuingia kwenye biashara hii nzuri nawakaribisha Sana ,hasa wadau wa mikoan miez hii biashara inahitajika Sana Ndo miez ya kuvaa Unaweza ukabuni kusambaza kwenye masoko,magulio, Stand,kuwasambazia kwenye maduka,kuuza kwenye vijiji huko fashion mbalimbali zinazitoka wanapenda Sana so wenye interesting tutazidi kupeana Mbinu Machimbo Mimi ntarahishisha Hilo
Dhumuni Ni Kukurahisishia Mteja Wetu Machimbo Kukuletea Bidhaa Bora Original Kwa Bei Nzuri , Fashion Mpya,Mpya Zinazotrend, dizain Tofaut Tofauti, Kama;
*YEBO YEBO
*SLIPPERS, SANDALS,
*Shoes & Clothes
*Tunatuma Mikoa Yote Kwa Oda
*Tunauza Kwa Rejareja na Jumla Kwa wafanyabiashara wa Dar na mikoani Tunatuma Kwa Oda
*Bei zinaanziaTsh 3000,5000,8000,10000,15000+
*Piga no 0716898393 , Whatsapp 0714994833
*Links Whatsapp group Uone update za dazain tofauti MHINA SUPER Discount SHOES SANDALS, SLIPPERS,YEBO YEBO, CLOTHES
 
Wanaohitaji Laptop & Desktop kwa Bei rahis pia kuna hizi computer accessories zipo za kutosha kama vile usb flash disk, mouse , keyboard , external hard disk nakadhalika tuwasiliane

0652565597
IMG_9621.jpg

IMG_9640.jpg

IMG_9637.jpg
 
Habari Wadau Nashukuru Nimerudi mkoan salama Jana Mrejesho kwenye ununuzi wa bidhaa za yebo yebo Na slippers Zipo Mtaa wa Msinbazi kariakoo kuna Ndala, slippers,yebo yebo Za Kila Aina Bei za jumla nilizokutana nazo zipo za 2600,2800,3500,5500,6000 kuanzia pic's 6 Nami nimeondoka Na mzigo wa Kuanzia biashara pic's 107 nizizuungushe masokoni nteleta mrejesho Wakuu.
Msimbazi ipi tafadhali tukajaribu na sisi
 
Hbr watanzania Naombeni kujua sehemu wanakouza sabuni za dalani na Dettol jumla
Dah
Nenda maeneo ya mnazi mmoja vuka barabara kama unaenda station au kisutu hapo katikati Kuna maduka ya wahindi mengi sana wanuza vitu vya dukani kwa bei ya jumla, usipopaona ulizia wenyeji wa maeneo hayo.

Ila kuulizia buku 5 kupelekwa buku 10. Kila la heri...!
 
Ninakuandikia kukujulisha kuhusu njia ya kupata orodha ya wafanyabiashara ndani ya Tanzania. Orodha hii inajumuisha maduka na ofisi zinazotoa huduma mbalimbali, kama vile:

maduka ya nguo
maduka ya viatu
maduka ya vifaa vya nyumbani
maduka ya vifaa vya ofisi
maduka ya vifaa vya michezo
maduka ya dawa
maduka ya mboga na matunda
maduka ya vinywaji
maduka ya vyakula vya haraka
maduka ya burudani
maduka ya urembo
maduka ya afya
maduka ya huduma za usafiri
maduka ya huduma za mawasiliano
maduka ya huduma za fedha
maduka ya huduma za elimu
maduka ya huduma za afya
maduka ya huduma za burudani
maduka ya huduma za usafiri
maduka ya huduma za mawasiliano
maduka ya huduma za fedha
maduka ya huduma za elimu
Orodha hii inasasishwa mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa ina taarifa sahihi.

Ili kupata orodha hii, unaweza kutumia National Commercial Directory. National Commercial Directory ni tovuti inayotoa orodha ya wafanyabiashara kutoka Tanzania na nchi nyingine duniani kote.

Ili kutumia National Commercial Directory, fuata hatua zifuatazo:

Nenda kwenye tovuti ya National Commercial Directory.
Katika upau wa utafutaji, ingiza aina ya biashara unayotafuta.

www.ncd.co.tz
Bonyeza kitufe cha "Tafuta".
Orodha ya biashara zinazotoa huduma unayotafuta itaonyeshwa.
Bofya jina la biashara ili kuona maelezo zaidi.
 
Wanapo uza vifaa vya umeme kwa bei ya jumla ..na mpango wa kufungua duka la vifaa vya umeme pia ushauri wa kiasi gani kinafaa kuanzia
 
Back
Top Bottom