Mi nazitengeneza karibuNairobi
Mi nazitengeneza karibuNairobi
Sio wezi ni watafutaji hahaaa. Dah hapo mahala ukizubaaa na kuleta unamwamini mtu unaliwa kichwa peupee.kuwa tu makini kariakoo kila mtu mwizi
Hata mm mkubwa naomba machimbo ya Vifaa vya computer, pia Vifaa vidogo vidogo Kama, headphone, mic,charger Za Simu, power bank etcNgoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Ni OG mkuuMdau wa chimbo la vitenge Dar nashukuru mno nilienda na nilipata bei nzuri 20,000/= jumla
Havipauki?Mdau wa chimbo la vitenge Dar nashukuru mno nilienda na nilipata bei nzuri 20,000/= jumla
Yap Nairobi niliskia nina rafik yangu alishawah kufanya hyo business.Nairobi
Vip makali ya gharama kwenda China nakurudi mtu aandae kama Tsh.ngapiTafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.
Vitu vingine in china the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Thanks
Mie nina milion 25, nimepanga nauli na kulipia mzigo milion 7Vp is it too high ?? Utaenda ?? Are u on business already ??
Mie nina milion 25, nimepanga nauli na kulipia mzigo milion 7
Je, milion 18 naweza kubeba mzigo gani ?
Sijajua nibebe makoro koro gani, maana Dar kuna vurugu ya uchuuzi ile mbayaIt depends. Kwanza kabisa lisome soko hapa bongo na ulielewe. Know ur break even points. Assume the worst scenario kwenye market hapa. Would u still make a profit ??
Sijajua nibebe makoro koro gani, maana Dar kuna vurugu ya uchuuzi ile mbaya
Nimekupata, wacha niendelee kuumiza kichwa.Sasa hapo ndipo mnaingia cha kike. Tembea kkoo soma market na ulielewe. Usiende nunua bidhaa ambayo huijui. Kumbuka utahitaji sehem ya kuuzia bidhaa zako, rent, taxes, salaries kama utakua na kijana wa kukusaidia etc.
Kwa kifupi u need to strategise very carefully and know ur numbers well (break even points). Kwamba nikiuza bei flan nitaweza cover gharama zote and still make a profit na je turnover itaniwezesha ku survive in the game long term. Cz mfano unaweza usiuze sana miezi mi 2 au mi 3 ya kwanza...lakini stock ikiisha utakua profit kiasi flan either in 4 months or 6 months sales window.
Ya dig ??
Ukiwa tayari nijulishe twende woteUnipe asee, nitashukuru akiwa mtembezi mi nikienda kariakoo hadi visigino viume ndo nirudi home