H
Ngoja nikupe machimbo best. Kizuri kula na mwenzio. Vitenge mara nyingi machimbo yake yapo NIDA kule Mnazi Mmoja wengi wanaouza Kariakoo wanaenda kufuata huko. Viatu navyo vinapatikana huu Mtaa wa Narung'ombe na Congo pale nenda straight kwenye maduka ya Wachina yaani sio wale machinga wanaomwaga chini, nop. Unazama dukani utakuta zile simple wanauza 4000/pc na vile vi-sandles wanauza 2500/pc. Cheni zama Mchikichi katikati kuna Mchina anauza mpaka 2000-3000/dz na hazipauki. Magauni nayo ingia ndanindani kule Congo na Aggrey, wanauza nayo bei chee 6000-8000-1000-16000/pc. Vingine siku ingine nitakwambia nimechoka ku-type ah!
Hata mm mkubwa naomba machimbo ya Vifaa vya computer, pia Vifaa vidogo vidogo Kama, headphone, mic,charger Za Simu, power bank etc
 
Tafta hela uende china. Kuna masoko yao kule vitu bei cheap kweli. Kuna vijana walianza kdgo kdgo tu this day wanafanya vizuri kweli. Just know ur niche.

Vitu vingine in china the prices are lower kuliko hata hapo Kariakoo.
Vip makali ya gharama kwenda China nakurudi mtu aandae kama Tsh.ngapi
 
Mie nina milion 25, nimepanga nauli na kulipia mzigo milion 7
Je, milion 18 naweza kubeba mzigo gani ?

It depends. Kwanza kabisa lisome soko hapa bongo na ulielewe. Know ur break even points. Assume the worst scenario kwenye market hapa. Would u still make a profit ??

Tembea kkoo nzima study the market, ask questions as if ur a wholesale buyer (usiulize bei kama wewe ndio final consumer). Kumbuka ukinunua mzigo kule kutakua na gharama za clearing and shipping charges mzigo ukifika huku per cubic meter cz ww uwezo wa kujaza container mwenyewe bado huna.
 
Sijajua nibebe makoro koro gani, maana Dar kuna vurugu ya uchuuzi ile mbaya

Sasa hapo ndipo mnapokuja ingia cha kike. Tembea kkoo soma market na ulielewe. Usiende nunua bidhaa ambayo huijui. Kumbuka utahitaji sehem ya kuuzia bidhaa zako, rent, taxes, salaries kama utakua na kijana wa kukusaidia etc.

Kwa kifupi u need to strategise very carefully and know ur numbers well (break even points). Kwamba nikiuza bei flan nitaweza cover gharama zote and still make a profit na je turnover itaniwezesha ku survive in the game long term. Cz mfano unaweza usiuze sana miezi mi 2 au mi 3 ya kwanza...lakini stock ikiisha utakua profit kiasi flan either in a 4 months or 6 months sales window. It depends, it might be less than muda huo (Assume the worst is to happen)

Ya dig ??
 
Sasa hapo ndipo mnaingia cha kike. Tembea kkoo soma market na ulielewe. Usiende nunua bidhaa ambayo huijui. Kumbuka utahitaji sehem ya kuuzia bidhaa zako, rent, taxes, salaries kama utakua na kijana wa kukusaidia etc.

Kwa kifupi u need to strategise very carefully and know ur numbers well (break even points). Kwamba nikiuza bei flan nitaweza cover gharama zote and still make a profit na je turnover itaniwezesha ku survive in the game long term. Cz mfano unaweza usiuze sana miezi mi 2 au mi 3 ya kwanza...lakini stock ikiisha utakua profit kiasi flan either in 4 months or 6 months sales window.

Ya dig ??
Nimekupata, wacha niendelee kuumiza kichwa.
 
Back
Top Bottom