mawakala wa mapenzi ya jinsia moja wapo kazini: ujumbe mkuu hapa ni kwamba wamekamata kila sekta mpaka kwenye vyombo vya ulinzi wapo.

inasikitisha sana.
 
Kunahaja kubwa ya jeshi zima kufanya ukaguzi kuna video imesambaa sana ya kijana wa jeshi shoga akizagamuliwa huko zanzibar dah aisee hv ili swala la ushoga serikali kama imelinyamazia hv hii ni hatar nimeangalia video mara60 siamini wadau tufanyeje ili hii hali isizidi kusambaa kwa kasi???dah
Mara 60 imekuvutia sana?
 
Hivi mnaanzanje kuangalia hizo connection za kifirauni?? Mi siwezi aisee sina moyo huo..Mungu atusaidie...macho ndo mlango wa vitu vyote vibaya..kwanini tusipinge hizi video kusambaa? Maana toka zianzwe kurushwa naona ndo zinazidi na watu mnaangalia tuu..hamuoni kwamba zinawapelekea na nyie kwny ushetani?
Mi naangalia najitambua najua Ni tendo la dhambi sitalifanya hata mpk Dunia iishe,yeye mwenyewe aliyejichukua video alitegemea Nini Sasa
In every action there is an opposite and equal reaction


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Niwape warning kwa wale wanaouchafua uislamu kwa kulinganisha na mambo ya ushoga , muislamu ni mtu kama wewe kila unachoweza wewe kufanya na yeye anaweza kukifanya ila uislamu umenyooka na ahuna dosari uislamu unapinga ushoga na mambo yote mabaya na mpaka adhabu mwenyezi mungu alishawai kuzitoa kwa binadamu kwa kufanya matendo kama ayo sasa, mnapousema uislamu kwa matendo ya muislamu mnakuwa mnaukosea sisi waislamu atujawai kuhukumu ukristo kwa matendo ya mkristo .. niishie apo kwa leo....
Vipi vile vitoto vilivyonyanduliwa na mwanzilishi wetu? Na ahadi ya mabikra imeondolewa?
 
Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo

Ushoga na usagaji ni roho inayotembea kwa speed mnoo. Usishangae kwenye familia yako ukakuta wapo wanachokoana na kusagana

Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa

Roho zetu zikimbeba Mungu roho hizi chafu zitaondoka
mungu alipo kataza jambo aliweka na hukumu yake,leo watu hawataki tena kuhukumiwa na seriya za mungu wanasema walisha kombolewa kwenye laana ya taurati hacha wahukumiwe na sheriya za kuzungu
 
Kuna vitu huwa rahisi sana kuviondoa, ujambazi, ushoga, usagaji, kamari na mfano wa hivyo, shida ni hii mifumo yetu ya kishetani (Demokrasia).

Kuna watu zama za watu wenye akili na maarifa makubwa, walikuwa wanauliwa, wengine waliwauwa kwa kuwachoma moto kabisa, watu wanao fanya mapenzi ya jinsia Moja, yaani mfanyaji na mfanywaji wote wa wanauliwa.


Hivi kiakili tu, itangazwe Sheria na ifanyiwe kazi kwamba, akikamatwa shoga na mfanyaji na wasagaji wanauliwa, aidha kwa kuchomwa moto au kuchinjwa au kwa namna yoyote Ile ili mradi tu wauwawe. Hakuna atakaye salia shoga wala msagaji katika huu mgongo wa ardhi.

Sababu hakuna mtu aliyeumbwa kuwa shoga au msagaji, hizi tabia za kisenge watu wanaziendekeza. Ila hawajui zina athari gani katika jamii. Zina athari kimaana na kihisia.
Yes, au wahasiwe tu. Unapasuliwa map*mbu na nyundo bila ganzi! 😕
 
Hapa ndiyo ujuwe hakuna mkamilifu, Police si Malaika,ni Binaadamu Kama Mimi na wwe,na wao wanamapungufu Kama Wanadamu! Sasa unapotaka uzi ufutwe kisa aliyefanya ni police si itafika kipindi hadi utataka police wanao tesa na kuwa raia wasiwekwe hadharani pamoja na ushahidi wa video kuwepo!!??

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mantiki yangu ipo kwenye usambazaji wa picha
Embu chukulia mfano huyo angekua ndiguyo au mzazi wako

Msimamo wangu Napinga ushoga na mashoga...

Hivo vitendo vya usambazaji wa picha zake kunaweza kupelekea mambo mengi Kwa familia yake pia....
 
Kama hapa ofisini kwangu kuna kaka nilikuwa namheshim alikuwa karibu mno na kijana wangu wa kazi siku kijana ana nambia jamaa ana mlazimisha amkule tena kwa kunionesha sms kwenye simu nilishangaa mno jamaa ana Mwanamke anaishi nae.Kwa kweli tuombe sana Mungu atuepushe na vizazi vyetu.
Subhaana lllaaah...!!!aseehhhh!!!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom