Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Feb 17, 2023
908
1,064
Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa video call na mwanamke afu yuko anamuonesha sehemu ya makalio huyu mwenyewe.

📌 Wanawake mko na moyo wa huruma lakini huruma yenu ndo inaaribu kizazi hiki mtoto wa kiume kukuwa kama mtoto wa kike.

Eti mtu anamtetea mtu muovu busara gani. Mdada kaniuliza je angekuwa mzazi wako ungepost au? Uenda wangepost wengine... ila acha kuficha uovu wa watu me sikumrekodi alijirekodi mwenyewe.

Taifa liko na Viongozi wa ajabu wenye tamaa na uongozi ila kuongoza hawawezi ......
... mchana mwem.
AXRecorder_02032023_084450.jpg
 
Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo

Ushoga na usagaji ni roho inayotembea kwa speed mnoo. Usishangae kwenye familia yako ukakuta wapo wanachokoana na kusagana😥😥😥😥

Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa

Roho zetu zikimbeba Mungu roho hizi chafu zitaondoka



2029154733.jpg





Yaani sasa hivi ukiitwa baba au mama hata kama watoto wako hawako kwenye haya mambo piga magoti kila siku, ombea uzao wako, ombea watoto wote, ombea wazazi wengine.... Nyie hii kitu ni ngumu😥😥😥😥

Ambayo hamjajaliwa watoto ombeeni sana wenza wenu, ombeeni uzao wenu

Wababa wapenda tigo manaogeuza watoto wa wenzangu na kulala na mashoga acheni!!! Hii ni laana mnaiingiza kwenye vizazi vyenu. Yaani mnaanzisha laana ya kuzaa mashoga kwenye koo zenu. Waoneeni huruma wajukuu zenu wa kiume watakavyokuja kuolewa na wanaume wenzao 😥

Na mlivyo wengi sasa😢😢😢😢
 
Hemedy ushoga na usagaji ni janga la dunia
Haupo kwa wafanyakazi wa serikali pekee, umeshaingia misikitini, makanisani, mashuleni hata kwa wale wanaotakiwa kututibia mahospitalini upo

Bila kumrudia Mungu katika roho na kweli na kufuata sheria zake tutashindwa
Kweli vita ni kubwa, hata wapingaji wasipojiangalia wanazama humu kwa nabii Lut, tumuombe Allah Karim atuepushe na huu msuko suko
 
Daaaah.. Nahisi yule jamaa basha wa afande "mume" wake kaamua kuleta mambo yao ya hovyo hadharani..
Ni dhahiri kwa sababu yeye haonekani vizuri..

Ndhani serikali sasa ijikite kuwaadhibu vikali wanao sambaza video za hivi.

Hii video itaonwa na watakatifu waliopo duniani.. Wengi.. Na naamini ndiyo connection inayo spread kwa speed kubwa sasa.

Kwa kifupi wanao umia ni wengi; wanaume, wazanzibar, mapolis, watu wenye pua kubwa, watu wa dini yake, ndugu jamaa na marafiki zake mke wake ila sina uhakika kama kaoa"

Kwa sasa huyu jamaa ana hitaji msaada mkubwa sana wa kisaikolojia.
 
Back
Top Bottom