Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,494
- 57,869
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha.
Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda kanunua viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni 1.
Pia kwenye Orodha hiyo ameonekana Katibu wa Rais Bwana Waziri Salum, Mpambe wa Rais Brig General Nyambura Mashauri, Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka, Waziri wa Ardhi Deogratius Ndejembi, Mbunge Christopher Ole Sendeka, Wakili Ally Possi ambaye ni wakili mkuu wa Serikali anayesimamia mashauri ambayo Serikali tunashtakiwa na kulipa Mabilioni ya Pesa Nje Nchi pamoja na kampuni mbalimbali.
Baada ya kuona orodha hii nimejiuliza maswali yafuatayo;
1. Viongozi na Wanasiasa hawa wamepata wapi pesa za kununua viwanja hivi?
2. Mchakato wa kuomba na kuuziwa viwanja hivi ulikuwaje?
Mwisho nawaonea huruma sana askari polisi wanaotumika vibaya kuwapiga virungu na kuwatesa Chadema ambao kimsingi wanapigania kuondoa Ufisadi nchini ili Watanzaia wote waishi maisha mazuri.
Pili nawaonea huruma sana TISS ambao kutwa kazi yao ni kuwalinda Mafisadi ambao wanaliibia hili taifa na kujinufaisha binafsi huku Watanzania wengi wakiteseka kukosa huduma za msingi na kufia kwenye umasikini wa kutisha.
Tatu nawaonea huruma JWTZ ambao wanakula kiapo cha kuilinda Katiba inayoweka misingi ya utawala bora na uwajibikaji wakati Viongozi wa nchi hii wanakiuka hiyo misingi na kufanya ufisadi wa kutisha huku wao wakiwepo.
Watanzania tuna kila sababu kuwaunga mkono Chadema ili kuhitimisha huu ufisadi unaofanywa dhidi ya nchi yetu na Taifa letu.
Kuna kila sababu tuipambanie No Reform No Election ili tupate Viongozi wanaowajibika kweli kwetu na ambao tutaweza kuwawajibisha.