OK... Nanunua kesi...
kwa hiyo mimi nalipa kodI ya fremu na kodi ya TRA ...
Halafu kenge aje kupanga nyanya au mitumba mbele ya duka langu sababu yule mfu alikuwa anataka kura zao...
Napoteza wateja wangu sababu Pumbavu mporimpori kaacha kulima vijijini na kuja mjini kumshobokea dikteta....
Wakafe mbele, tunaanza upya na yule jinamizi hata kaa atokee tena katika nchi yangu...
Natafuta kupigwa ban... easy...
 
KUMEKUCHA, Nasikia dar imefanyiwa usafi ndani ya usiku mmoja na hawa vijana, watu wameamka asubuhi hawaamini wanachokiona ,sehemu ambayo ilikua haipitiki saivi unapita bila kugusana.

vibanda vyote vimevunjwa hivi vya service road sasa ufanyike usafi wa kwenda jiji liwe safi zaidi

kumbe inawezekana aisee khaa Suma jkt sio wa mchezo mchezo, waendelee kupewa tenda hawa vijana
 
nimepita manzese vibanda vilikua vimejaaa mpaka barabaran watu tunakosa pa kupita muda huu safiiii naona watu wanaendelea na kazi ya kusafisha
 
Kwa hili serikali inapaswa kuungwa mkono kwa nguvu zote tunapaswa kuwa na miji au majiji yaliyostaarabika.
 
Ni mazoea tu.....

Mathalani jiji la Dar wameongezewa siku 12.....

Ofisi za wakuu wa wilaya na za Wakurugenzi wanatoa maeneo ya kufanyia biashara.....

La muhimu tu waongeze kasi ya kuboresha maeneo hayo ili yazidi kuwa rafiki kwa biashara hizo!

Siempre JMT
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…