Kariakoo leo asubuhi
IMG_0583.jpg

IMG_0582.jpg

IMG_0581.jpg
 
Pumzika kwa amani Jemedari chuma JPM, mzalendo na kiongozi madhubuti.

Mabeberu na Mafisi yamekuondoa mapema sana ingali taifa linahitaji uchapa-kazi wako.

Kila siku naikumbuka ile sauti yako yenye mngurumo wa radi. Kiongozi mwenye kinywa kilichojaa mamlaka na AMRI.

You have gone too soon John!
Unakumbuka nyumba zilizobomolewa kimara ili kupisha barabara? Mbezi je? Unakumbuka nyumba ya profesa jay ilivyobomolewa?
 
Zoezi kama linaenda slow, nimepita Buguruni jamaa wapo kama kawaida
 
Habari za humu wanajamii,

Direct madani,
Baada ya songombingo la serikali ya mama samia kusafisha jiji la dar kwa kuwaondoa wamachinga waliokuwa wamejibanza kandokando ya barabara kujitafuta riziki zao kuisha, tunaona asilimia kubwa ya wana dar es salaam kusifia mandhari masafi ya muonekano mpya wa jiji hilo.

Sasa basi, kwa shauku yangu binafsi na ya watu wengine ambao hawapo dar, tunaomba wana dar mtuoneshe kwa mtindo wa picha mandhari mapya na usafi wa dar, baada ya wamachinga kutolewa.

Nawasilisha.
 
Upande tu Bus uje ujionee,
Jiji sio tu limekua safi kimuonekano hadi Marashi ya Karafuu tunayapata.

Viva Serikali, Viva Tanzania.
 
Back
Top Bottom