Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,453
Jiji safi lina faida gani ikiwa watu ni masikini hawawezi kuendesha maisha? Hahaa eti jiji safi.Jini ni safi ila tuzingatie kuwa huu usafi utaendelea mpaka kwenye level ya familia yani mke na mume! Nyumba nyingi zitavunjika kipindi hiki sababu ya kutetereka kwa kipato cha baba ambaye alikuwa anafanyia biashara zake barabarani!
Hovyo sana yani hahahaaa... hajui hustles tunapitia huyu msngeHili dongo limekaa kibabe sana yani [emoji23][emoji23][emoji23] kwahio aendelee kuuza mtambo wa nnya
Magomeni piaMmeaambiwa muende Machinga Complex, Bunju, Kisutu au Mburahati
Yaani kupendeza kunakuwa muhimu kuliko kula [emoji23][emoji23][emoji23]Jini ni safi ila tuzingatie kuwa huu usafi utaendelea mpaka kwenye level ya familia yani mke na mume! Nyumba nyingi zitavunjika kipindi hiki sababu ya kutetereka kwa kipato cha baba ambaye alikuwa anafanyia biashara zake barabarani!
Hovyo sana.... faida yake ni nini sasa!Yaani kupendeza kunakuwa muhimu kuliko kula [emoji23][emoji23][emoji23]
Usiwaonee huruma kabisa, huyu jamaa wa Sit hilo duka kamili mtaji teni million et macjingaHuku DIT wapo busy wanabomoa wenyewe, huruma lkn wateja tulishawazoea 🤔
Duuuh hatariYaan manzese wenye mabanda wamekuja asubuhi wenyewe wanashangaa hawaamini wanachokiona. Wamekuta kumeshabomolewa. Naambiwa kazi imefanyika saa 8 usiku.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Aisee pale ferry niliwahi pita pale karibu na mwendokasiHivi magogoni ferry hali ikoje maana walivamia sehemu ya kuegama mvua na kuchukua meza zote, mwendazake aliwadekeza kichizi yaani.
Hizi akili mgando hizi nadhani unachoweza wewe ni kuvaa nguo usiwe uchi huwezi kuchambua mada wala mambo wewe ni completely zero brain.............. au wewe ni Bashite nini?Wanabomoa vibanda vyenu wanaweka vibanda vyao. Mtetezi wenu ndio kashaondoka pambaneni na Hali zenu. Wajanja wameangalia wamejua mnapiga hela maeneo fulani fulani. Wametafuta njia ya kuingia hapo na ndio hio kwamba vibanda vyenu vichafu havifai kuwa hapo ILA vibanda vyao visafi ndio vinastahili! Wewe mlalahoi kibanda chako peleka kijijini kwenu huku tunataka vibanda vya akini tipisi, fishifishi na wajanja wengine wa mjini
Tembea hatua nne mbele sema mimi ni mpumbavu kabisa nabishana na kitu kilichonizidi maarifaHalafu ukiwatoa hapo unataka wakale kwa mama yako?
Hii nchi ni masikini, lazima tuelewe kwamba vipato vya wananchi vinategemea biashara ndogo ndogo kuendesha maisha.
Huwezi kujenga shopping malls kwa ajili ya mamantilie wanaouza vitumbua na mihogo!
Grow up, kiddie. Acha utoto!
Baasha wako aliyekuwa anakunyonya kipira ameshakufa nenda katambike na matako kwenye hekalu lake chatoDuka umelitoa wapi wewe kula kulala unayeishi kwa shemeji?
Wenzako wanapambana kweli kweli wanazunguka barabarani, wewe umebinua ****** kwenye kochi unaandika upuuzi mtandaoni!
Jibidishe. Pambana.
Mmepangiwa wapi??Huku kwetu Dom tumepangiwa eneo zuri sana yaani no malalamiko nawapongeza Mh.Mtaka, Mh Shekimweri na mkurugenzi wa jiji
Ooh am sorry Mr. Planner, sawa ni uharibifu but frankly speaking hukuwazoea? Sigara ulikua unaenda kununua soko la kisutu? AahNyie ndio mna promote uharibifu wa mipango miji.