Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

Mimi huwa simwamini mtu anayejiita kigogo lakini kutoka na hiki kilichoanza kutokea nimekosa kikwazo chochote cha kutokumwamini kigogo kwa kuwa kitu kama hiki kilichotokea ni miongoni mwa kile kilichoandikwa na kigogo kuwa vyombo vya usalama vimeagizwa kuwashambulia wafuasi wa Lissu.
 
Anza mdaa huu mmechosha ,Yani mkiwa chama kimoja ni nyie mlipitisha vyama mbadala,na maana yake ipo siku mtakoma kushika dola na wataongoza wengine.
Leo mnakabwa koo mwawaona hao mliowapisha ni Kama hawana hualali huo,
Sasa nawambia mungu hunena na Kila mja wake mengi amenena juu ya taifa hili ,na naenda kufunga siku 14 ,sijawai lakini lazima nitimize maagizo yake ,Kama kweli binadam ni zaidi ya mungu Basi ila Kama sio kweli Basi mungu atamleta rais anaemtaka na si binadam anaye mtaka ,kesho naanza mfungo juu ya taifa langu

Funga kwa uaminifu mkubwa na naomba uniombee sana ili nipate wenzangu wengi watakao ungana na mimi kubadilisha katiba hii ili Magufuli atawale miaka mingine 15. Nakutakia mema kutimiza hayo maombi yako ili Mungu aya pokee na ya kwangu.
 
Brother try to Google Johannesburg or cape Town please. We are talking about people's lives not buildings and roads. Anyways ipo siku atakuja kujua kua damu ya binadamu inathamani kuliko Tanzania nzima na mjengo yake..
When Chadema say it’s about patriotism, the love of country and God, and for the least among them. It doesn’t mean none of those things could be true, but they are usually collateral - coincidental. Chadema and Lissu does it for power. He does so with lust and enthusiasm.
 
Brother try to Google Johannesburg or cape Town please. We are talking about people's lives not buildings and roads. Anyways ipo siku atakuja kujua kua damu ya binadamu inathamani kuliko Tanzania nzima na mjengo yake...
You are trying to reason somehow right, but like many who need to develop, fails to get proper advise as to how one can move from where you are now.

If you don t mind leave your contact in my inbox. You can google to know me for authentification, I am verified member.

Accept my kindest personal regards.
 
Nou
Wewe ni Mpuuzi Kama walivyowapuuzi wengine, Mgombea wenu anasimama kila mahali hajawahi kupingwa mabomu. Mwaka huu jino kwa jina jeshi la mtu mmoja TL ananyoosha= polisi+Nec+ccm
Wewe usimlinganishe Mhe Rais wa nchi na vitu vya kijinga.
 
Even if you lose your patience to the death limit, nothing is going to stop Tundu Lissu to get what he wants...!!
Hata akeshe anadhikiri uchi Lissu hatakua, hawezi na hana sifa za kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania, kwanza ni kichaa mwenye faili hoapitali ya vichaa mirembe
 
Tulieni dawa iingie acheni kulialia kazi ndio imekolea sasa.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Hata akeshe anadhikiri uchi Lissu hatakua, hawezi na hana sifa za kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania, kwanza ni kichaa mwenye faili hoapitali ya vichaa mirembe
Mbona jiwe hana sifa lakini tunaye, kumbuka tuliambiwa Anafaa kuwa mnyampara
 
You are trying to reason somehow right, but like many who need to develop, fails to get proper advise as to how one can move from where you are now.
If you don t mind leave your contact in my inbox. You can google to know me for authentification, I am verified member.

Accept my kindest personal regards.
You seems to be fan of arguments
I am one of the victims from this regime
Wacha tu ndugu hizi Barabara zimejengwa na damu zetu
Usilolijua ni Sawa na usingizi wa kiza
Trust me jamaa amefanya dhulma Sana kwa ummah wa watanzania
 
Hata akeshe anadhikiri uchi Lissu hatakua, hawezi na hana sifa za kuwa Rais wa Nchi ya Tanzania, kwanza ni kichaa mwenye faili hoapitali ya vichaa mirembe

Risasi zenu za AK47 na SMG jumla 38 ili kumuua, nani alizuia sumu yake isimuue?

Ukimjua, kuwa ni yule aliyeshinda KIFO na MAUTI; Kama ukijua kuwa ni yule ambaye HAKUNA GUMU LOLOTE LINALOWEZA KUMSHINDA, basi utajua kuwa MAGUFULI na CCM walishanyang'anywa KIBALI cha uongozi wa nchi hii...!!

Kubalini tu kuwa DHAMBI YA UUAJI inamtesa mtu wenu MAGUFULI.. Mwambie atubu kwanza...!
 
Tuliawaona wanajiandaa tukawaomba wanaume wasiingilie watuachie tudili nao sisi had hatua Ya Mwisho, tukakomaaa nao baadae mabomu yakawaishia wakatulia wakaja kistaarabu ndio tundu lisu akashuka kuwafundisha sheria.

Kama wangekuwa na mabomu mengi, maana yake had sasa tungekuwa tumeisha wakamata wote maana walikuwa wakipiga moja lapili tumeishawakalibia na wasichana wadogo Kabisa ndio walikuwa wanachukua Picha zote hizo zilizo kwenye mitandao, wanaume walikaa pembeni wakituangalia tunavyowazungusha huku tukipiga Picha na kuchukua video tulikuwa na Kazi Tatu Kwa Wakati moja kuchukua Picha, kuchukua video huku tukiwazungusha, wao walikuwa na Kazi moja tu Ya kupiga mabomu wanaume wachache walimlinda lisu wakiwa na Maji mkononi ili ikitokea anepatwa na Moshi wanamnawisha wengne wakiwa walinzi pembeni baadae ndio tukajirekodi tukituma Salama kuwa sisi ni pipoooozi

Omwiseke wa tarime atahanche magufuli ahete gukura ichatarime, toleitane ichinsiko choonswi agwe hase, nomonto omofefe Sana magufuli aleita afanto vyeito hano tarime mweto tulawanse gwitana hano na Afande fatuturii
 
Risasi zenu za AK47 na SMG jumla 38 kumuua, nani alizuia sumu yake isimuue?

Ukimjua, kuwa ni yule aliyeshinda KIFO na MAUTI; Kama ukijua kuwa ni yule ambaye HAKUNA GUMU LOLOTE LINALOWEZA KUMSHINDA, basi utajua kuwa MAGUFULI na CM walishanyang'anywa KIBALI cha uongozi wa nchi hii...!!
Misukule bana! ona hili, sasa umefikia hatua ya kumfananisha na Yesu!! Sasa hebu tupeni idadi kamili ya risasi alizopigwa, je ni 38, 16, 46 au? na za kichwa alipigwa ngapi? usikute ndio maana watu wanaenda kuona majeraha ya risasi zisizojulikana idadi, nyie mkadhani ni wapiga kura!!
 
Huyu mwanaume siyo lowasa,police wajitafakari sana wana dili na mtu ambaye amechungulia kaburi akarudi

Nafikiri wengi humu hamfahamu mfumo na uendeshwaji wa akili. Ukiumia au kuungua una kuwa muoga kuliko ambaye hajaungua. Nani mwenye kuogopa moto? aliye ungua au ambaye bado.

Huyo jamaa yenu ni jitu lioga tuu.
 
Kupitia akaunti ya Twitter ya Mgombea Urais wa JMT, Tundu Lissu ameandika

Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni. Wamepiga na kuumiza wananchi waliotupokea. Nawaambia Jeshi la Polisi mfanye kazi yenu kwa weledi, hakuna mabomu wala risasi za kutuzuia!! Hatutishwi!

For English Audience
Our convoy has been subjected to a massive teargas attack by the Police in Nyamongo, in attempt to block our route heading to our campaign meeting. Our supporters have equally been brutally caned and hurt. Let them bomb us and shoot us, but we shall never back down!!



TARIME: POLISI WAKANUSHA KUSHAMBULIA MSAFARA WA LISSU BALI WALIKUWA WAKIWADHIBITI WALIOKUWA WAKIWARUSHIA MAWE ASKARI

Kamanda wa Polisi, ACP William Mkonda amesema msafara wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA haujashambuliwa

Amesema wao wamewapiga mabomu ya machozi watu waliokuwa wanawarushia mawe Askari wa Jeshi la Polisi na hadi sasa Msafara wa Tundu Lissu upo njiani kuelekea Serengeti na unaongozwa na Polisi

Kuhusu usalama wa Mgombea amesema kuwa tangu jana Mgombea huyo alipofika Tarime amekuwa salama na anaondoka salama
View attachment 1583600
Ndo maana nakosana na ninyi mashabiki. tatizo siyo kupigwa mabomu maana siyo mara ya kwanza. Tuambie sababu! Kama ni yeye Lissu amekuwa mpuuzi naye aambiwe kuacha upuuzi. Kama ni polisi wamekuwa wapuuzi, nao waache upuuzi. Kupiga kelele na kuamini nchi itasimama kwa mabomu ya Tarime huo ni upuuzi wa mwandishi.
 
Misukule bana! ona hili, sasa umefikia hatua ya kumfananisha na Yesu!! Sasa hebu tupeni idadi kamili ya risasi alizopigwa, je ni 38, 16, 46 au? na za kichwa alipigwa ngapi? usikute ndio maana watu wanaenda kuona majeraha ya risasi zisizojulikana idadi, nyie mkadhani ni wapiga kura!!

Hutaelewa wewe...

Mkubwa, funguka, toka ndani ya pipa ulimofungikiwa...

Hebu mtenge Magufuli wako hapo mbele yako na tumchape risasi za SMG 2 tu za kiunoni na kisigino uone kama atakuwa hai japo kwa masaa mawili tu...

Sijui ni kwanini MATAGA na LB7 ni wagumu kuelewa na kuutukuza utukufu na maajabu ya Mungu muumba wetu kwa kuukoa uhai wa kiongozi mteule wake wa taifa la Tanzania ndg Tundu Lissu...

Hebu mwombeni Mungu awasaidie kuufunua ufahamu wenu...
 
Hutaelewa wewe...

Mkubwa, funguka, toka ndani ya pipa ulimofungikiwa...

Hebu mtenge Magufuli wako hapo mbele yako na tumchape risasi za SMG 2 tu za kiunoni na kisigino uone kama atakuwa hai japo kwa masaa mawili tu...

Sijui ni kwanini MATAGA na LB7 ni wagumu kuelewa na kuutukuza utukufu na maajabu ya Mungu muumba wetu kwa kuukoa uhai wa kiongozi mteule wake wa taifa la Tanzania ndg Tundu Lissu...

Hebu mwombeni Mungu awasaidie kuufunua ufahamu wenu...

Amini, Amini,Amini tutamuomba mungu atufunulie kujua huo utapeli wa kupigwa risasi kutoke kushoto zinaingilia kulia. Na aliye kushoto zinapoingilia risasi ambae ni dreva hakuumia.
 
Yaani unasahau madaktari wa kwanza kumuokoa ni wa serikali misukule bana

Nani anabishia hili kwani?

Ubishi wangu na wewe, ni appreciation kwa Mungu muumba kuwa alimponya mtu huyu kwa kusudi maalumu...!!

Hii haijalishi nani na nani walishiriki kuukoa uhai wake. Mipango na taratibu za Mungu hazihojiki. Ana njia zake za kumponya na kumuinua mtu awaye yeyote....

Anaweza kukutumia hata wewe kufanya kazi yake hata kama utakuwa hulitaki jukumu hili. Mungu akiamua kwamba ufanye, lazima ufanye... !!!
 
Back
Top Bottom