Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Polisi Nyamongo wameshambulia msafara wetu kwa mabomu ya machozi wakizuia njia kuelekea kwenye mkutano wetu wa kampeni

wanajeshi watakubali kutuua sisi kwa kwa kumlinda huyu kaburi? mwaka huu will be end of hawa makaburu lissu ni sababu ya anguko la ccm damu yake iliyomwagika inawatafuna ccm
 
Inasikitisha kuona post nzima inayohusu kulipuliwa kwa mgombea wa urais kupitia chadema huko Nyamongo Tarime mh. Tundu Lissu inawekea madubwana ya ajabu as comments ...

Inasikitisha kama siyo kuhuzunisha, ingia ushuhudie ...

👇
 
Inasikitisha kuona post nzima inayohusu kulipuliwa kwa mgombea wa urais kupitia chadema huko Nyamongo Tarime mh. Tundu Lissu inawekea madubwana ya ajabu as comments ...

Inasikitisha kama siyo kuhuzunisha, ingia ushuhudie ...

👇


Ukigusa tu hapo umeliwa pumbavu kabisa
 
Thubutu
hivi umeona CHADEMA inapolekea?
U,ejiuliza kwanini kuna akina amma wengi wagombea huko CDM ?

Mimi nafuatilia siasa kama taaluma sifanyi kwa ushabiki. Nimepitia form iliyoorodheswa wote waliopitishwa na tume KWA ccm.

Nishangaa sana, mikoa kama Iringa wazee ni wawili lakini wote walio baki wana umri wa chini ya miaka 37, Rukwa 36. Ukija kwenye viti naalum mkubwa sana ana umri wa miaka 37 waliobaki ni 24, 27, 29 na hawazidi 33 na hao ni 110.

Sio kitu muafaka lakini natoa mfano halisi: Nikizungumza na wenzangu, tuna tofauti na Mzee japo ana kiwango cha juu kabisa cha elimu,kujichanganya vya kutosha na kashika nyadhifa za juu mbali mbali, katembea sana, tumekaa nae wote marekani tukiwa watoto lakini tunapishana. We are two people same education but different generational dynamics na generation practical experiences na ndipo tunapo tutenganishwa.

Kwa hiyo tofauti ya Magufuli na Lissu inakuja hapo/ na CCM / Chadema kwa ujumla.
 
sijaelewa hapa IT wamefanya nini
I mean, post unayoiona pale juu kuhusu kinachoendelea huko Tarime imewekwa na CHADEMA Tanzania ila comments zilizowekwa ni picha za mgombea wa ccm mwanzo mwisho na mabandiko mengine kuhusu ccm.
 
Election keshokutwa US ebu tuwaelize Diaspora Trump security privilege zimepunguzwa kipindi hiki?

Acheni kumuongopea huyo Lissu yeye sio Magufuli. Mgombea wa 2025 wa CCM na wa upinzani ndio mtaweza linganisha. Lakini this time anashindana na incumbent president they are not equal on the campaign trail...

Ndugu to have security privilege and oppressing others using security privilege ni vitu viwiri tofauti...How could you use soft language to people who wanted to eradicate your life if wewe ungekuwa Mr Lissu?

Kwanza USA umeleta mfano kuna presidential debate ili raia can make informed decision nani ampigie kura dont you think tu nanyimwa hiyo haki?

all media houses are muzzled n.k... always nasema in a free and fair election environment with current economic hardship Magu hawezi hata kufurukuta hata kwa Mzee Hashmu Rungwe Supunda
 
Back
Top Bottom