Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ina maana kitabu Cha Qur'an iliyotafsiriwa na Yusuf Ali haijakamilika?
Hoja zingine hizi
Yesu alikufa, Isa hakufa alafu unasema ni kama CCM na Chama Cha Mapinduzi.
Nionyeshe sehemu kwenye Biblia inayosema Yesu hakufa ndo tuamini usawa wa Yesu na Isa.
Qur'an walioitarjim kwa lugha nyingine yoyote wamejitahidi kwa kutumia tafsiri tofauti tofauti lakini hakuna lugha inayoweza kuwa na ufasaha wa lugha iliyotumika kwenye Qur'an.

Cha ajabu hata watafsiri wa Kiarabu waliyoitafsiri Qur'an kuna mambo hawakuweka sawa.

"Tafsiri" zinasaidia kwa kiwango fulani, lakini siyo suluhisho la 100%.

Mfano mzuri ni hiki kisa cha, Issa, alayhi salaam, binafsi ninapokisoma na kutumia mabingwa wa "Tafsil" (siyo tafsiri), nakuta kisa cha Issa kwenye Qur'an ni chema kuliko tafsiri yoyote ile.

Mfsno kwenye Qur'an ipo wazi kwa lugha iliyotumika kuwa Mariam ni mwanamke wa kutokea bara hili la Afrika. Lakini hakuna mtafsiri aliyeliweka wazi hilo. Hapo ni mpaka waliojaaliwa kuielewa "Tafsil".
 
Waliwauwa mitume gani?kumbe uislamu umeiba mitume wa wayahudi?
Siku ukielewa maana ya mitume ni nini nafikiri tutapunguza nguvu kubwa kujadili vitu visivyo na msingi, kwa ufupi imani ya kiislamu ina nguzo zake na katika hizo ni kuwaamini mitume wote, ni mamoja tumetajiwa habari zao au hatukutajiwa.

"Mtume ameamini yaliyoteremshwa kwake kutoka kwa mola wake, na waumini vile vile, wote wamemuamini allah, na malaika wake, na vitabu vyake na mitume wake, hatutafautishi baina ya yeyote katika mitume wake, na (waumini) husema: tumesikia na tumetii, tunakutaka msamaha mola wetu! na marejeo ni kwako."

Qur'an 2:285

Kwahiyo ukizijua habari hizi utaacha kujivua nguo hapa jukwaani kwa mambo mepesi kama haya, sisi tunaamini mitume kwa ujumla wao, na tunakiri kila umma ulipelekewa mtume na mitume wengi waliotajwa walitumwa kwa wana wa israeli kutokana na ususuwavu wao na ubishi, haya hii ni mada nyingine.

Ushauri wangu wakati mwingine ukitaka kujadiliana na mtu jifunze walau hoja za upande wake kwa uchache ili uweze kumdhibiti kihoja, lakini ukiwa mweupe hivi kama maziwa ukristo huuelewi uislamu huuelewi, kwa sura kama hii utabakia kupiga tu vijembe mkuu lakini katu huwezi kutetea madai yako.

Kwa kumalizia hawa mitume tunaojadili kuwahusu kila siku hapa jukwaani, yaani issa mwana wa mariam na mussa na wengine amani iwe juu yao, wala hawakutumwa kwenu bali ni mitume wa wana wa israeli sasa kama ninyi ni watu wa huko muanze sasa kutujulisha lini wana wa israeli wamezaliwa rau madukani.

Karibu.
 
Robby,Issa kazaliwa miaka 600Anno Dominos.....Issa kazaliwa Madina kafia Makkah,Yesu kazaliwa Bethlehem zamani kabisaa huko enzi za za utawala wa Rumi kipindi Cha kina Ceisar Agustus na kina Herode,,,Issa kazaliwa Karne 6 baada ya Yesu...Sasa anakuwa vipi mtu mmoja,hakuna hoja hapa
Issa gani aliezaliwa madina akafia makkah, au unamzungumzia issa shivji?.
 
Pateni darsa la kisa cha Issa, alayhi salaam, kwa kutumia "tafsil".

Kisa hapa kinachambuliwa (tafsil) kwa asilimia kubwa kqankutumia Qur'an yenyewe. Ni tofauti kabisa na tunavyokifahamu Waislaam na wasio Waislam.

Waislaam tunatakiwa tuchukulie hili ni darsa jipya kabisa na tulivyozowea visa vya kwenye Qur'an vilivyofanyiwa tafsiri.

Hili ni darsa na linataka umakini ndipo tutajifunza humu mambo mengi sana mapya kutokana na hili darsa.

Nashauri wanaopenda kujifunza mapya wabebe kalamu na notebook wanapoingia kwenye darsa hili👇🏾

 
Hii hoja ya Yesu kuwa sio Issa ni ya kijinga sana sijui kwanini watu hawaoni hili? Nilidhani mleta mada pengine angeleta hii hoja kwa mtindo wa tofauti kama kuthibitisha kuwa Qur'an haimkusudii Yesu(wa kwenye biblia) inapomzungumzia Issa.

Kwa kufanya hivyo ndio tungeweza kujua kuwa Qur'an na Biblia inazungumzia wahusika wawili tofauti na si mkusudiwa huyo huyo mmoja ila kaelezewa kwa maelezo tofauti, sasa ukiishia tu kuonyesha hizo tofauti za kwenye Biblia na Qur'an bado sio uthibitisho wa madai ya kwamba Issa sio Yesu hasa ukizingatia Qur'an imekuja baada ya Biblia hivyo hizo tofauti sio za bahati mbaya.
 
Labda tukusaidie,kwanza ujue jinsi hivi vitabu vilivyoandikwa,lakini ni wajibu wako mwenyewe kuamini au kutokuami,Biblia inatokana na vitabu vya

Hizo hadithi huwa mnasoma na kuzielewa kweli,Yesu hata uhukumu ulimwengu, lakini atakuja kipindi kinachokalibia na mwisho wa dunia na atamkuta mtu mmoja anaitwa Masiha Dajal ambaye atawapitisha watu katika mitihani migumu ya imani, ukimfuata umepotea, ukimkataa umeokoka

Yesu atamuuwa masiha Dajal, naye atakufa, maana katika mwisho wa dunia kila kitu kitakufa, mpaka malaika watakufa, atabaki Mungu peke yake kama alivyoumba dunia, ndiyo utakapoanza ufufuo kwa viumbe wake, na mtu wa kwanza kufufuliwa atakuwa Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya hapo itaanza hukumu, itachukua miaka alfu5 huku watu wamesimama hakuna kulala wala kula, huo ndiyo Uisilamu elimu pana hakuna kitu kilichofichwa
Huu ni uthibitiho wa usadiki na Imani za kimchongo mchongo hahahaahaaaa dadadadeki dunia hii ni nyoko.
 
Nimekubali mimi nimekubali mimi nimekubali mimi naomba ufalme wako wa fikra na uchambuzi wa kimantiki na maudhui na wenye rejea udumu milele na milele, Amina.

Mimi Kama Wadiz

Ila msiache Imani zenu.
Wema na upendo ndio Dini ya kweli. Haya mengine ni kupitisha Wakati tuu😀😀
 
Hii hoja ya Yesu kuwa sio Issa ni ya kijinga sana sijui kwanini watu hawaoni hili? Nilidhani mleta mada pengine angeleta hii hoja kwa mtindo wa tofauti kama kuthibitisha kuwa Qur'an haimkusudii Yesu(wa kwenye biblia) inapomzungumzia Issa.
Kwa kufanya hivyo ndio tungeweza kujua kuwa Qur'an na Biblia inazungumzia wahusika wawili tofauti na si mkusudiwa huyo huyo mmoja ila kaelezewa kwa maelezo tofauti, sasa ukiishia tu kuonyesha hizo tofauti za kwenye Biblia na Qur'an bado sio uthibitisho wa madai ya kwamba Issa sio Yesu hasa ukizingatia Qur'an imekuja baada ya Biblia hivyo hizo tofauti sio za bahati mbaya.

Sasa Kama Quran inamkusudia Issa ndiye Yesu Wakati huohuo Quran inasema Yesu Hakusulubishwa bali walifananishiwa mtu na issa aliepa kifo bado unaona aliyekusudiwa na Quran ndie Yesu?

Embu jibu hizo hoja kwenye mada Mkuu.
Mbona sijaona hata mmoja anayejitahidi kuzipangua hizo hoja
 
QUR'AN siyo kitabu Cha wasifu/biography,ni kitabu Cha kumuongoza mtu kumjua muumba wake na vile anataka Aishi duniani, Quran imetaja manabii wengi toka Adam,lut, Ibrahim mpaka Muhammadi,we unataka itaje majina yao wote na koo na wanafunzi wao!!?..yesu kiebrania yeshua au y'shua...Sasa kiebrania ismail wanasema Ishmael,toa hiyo sh bakiza 's' Kisha tamka uone linakuja jina gani,ukiona kazi google kigiriki jina yesu,utapata na linavyotamkwa,yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe Kama wengi mnavyoamini,hori la ng'ombe ni pahala ng'ombe wanatumia kula na kunywa,na alipozaliwa ilikua mid summer,kiasi wafuga ng'ombe waliweza ona mifugo yao usiku,mid summer tende huwa mbivu Kama Quran ilivyosema kwenye mazazi ya ISSA/yesu...kukataa issa si yesu ni ujuha unaotokana na kukosa hoja
Issa siyo Yesu. Mtoa mada amekwisha prove. Musilazimishe huyo msela wenu wa kwenye Quran afanane na Yesu
 
Hoja ya miaka itakuangusha....

Dini ya Zoroastrianism na vitabu vyake ina miaka zaidi ya 3500 kuliko AGANO LA KALE....kwa hiyo wao ni wakweli zaidi ya wote hao waliofuata?!!![emoji1787][emoji1787]
Usihamishe magoli. Zoroastrianism haijamtaja Yesu wala huyo msela wenu Issa.
 
Umeandika kama vile Qur'an imekuja kuyskinisha biblia, Qur'an imekuja kuweka sawa yaliyopotishwa kwenye biblia.

Visa vilivyomo kwenye biblia ni tofauti kabisa na ukweli ndiyo kwenye Qur'an vikaja kuwekwa visa halisi, siyo vya mikono ya watu.

Mitume ni wale wale lakini ni kosa kubwa kabisa kudhani visa ni vile vile.
Hicho kitabu kiliandikwa na wahuni halafu Muhammad anadanganya eti aliteremshiwa. Ndiyo kimezaa dini ya kihuni. Imagine mtu anaambiwa akijiua kutetea Imani yake eti kuna mabikra 72 wanamsubiri peponi. !! Yaani huko peponi hakuna cha maana zaidi ya ngono?? Uhuni mtupu
 
Unavyokaza fuvu hadi unatia aibu,biblia hufanyiwa tafsiri ili iendane na mabadiliko ya lugha sehemu mahalia.
Pumbavu hili hapa,kubadili neno IDD Hadi sikukuu ya kuandama mwezi na kuwatadha miguu Hadi kuwaosha miguu ni kuendana na mabadiliko ya lugha ya sehemu Mahalia!?
 
Tafuta hela wewe achana mijadala ya dini. Ukute umelawiti mtoto Jana, umeolewa Jana, unamichepuko. Kila mahali, husalimii ndugu wala wagonjwa, mtaa umekutenga kwa ulozi, mshirikina na tapeli halafu unajifanya mwana harakati Wa dini. Kongosho la Mamba tu
 
Kwanza niseme inaonekana umesoma au umesimuliwa Quruani kama hadithi lakini siyo kwa kuielewa ndiyo maana hukuilewa,nitaanza na hapa uliposema Yesu atakuja kuwahukumu wanadamu,kwani Yeye ndiye aliyewaumba?Mwenye uwezo wa kuwahukumu Wanadamu ni Mungu peke yake ambaye ana sifa zote za Uungu,hakuzaliwa hafi,hana mwanzo wala mwisho

Kwa kutokujua hicho tu unaonekana mwenyewe elimu yako ni ndogo kiasi kwamba huna uwezo wa kumchambua Issa na Yesu
Habari ndo hiyo,YESU KRISTU ni MUNGU.
 
Back
Top Bottom