Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,513
- 9,472
Ndugu yangu wee achana nao hawa wagalatia mna hawajui walitendalo mpka sasaKivip[emoji23][emoji23]? Umeelewa jamaa alivyosema lakini?
Ndugu yangu wee achana nao hawa wagalatia mna hawajui walitendalo mpka sasaKivip[emoji23][emoji23]? Umeelewa jamaa alivyosema lakini?
Kwaiyo Issa ni chawa wa Yesu ambaye hana majukumu duuuh
Hapana we ndo hujaelewa alivyosema kama Qur an inaeleza kuzaliwa na yesu mpaka kupewa jina inakuwaje hapo?
Tambu Qur an ni complete ni mfumo mza kila kitu unachojua wewe .
Nimekujibu kwa kifupi Qur an haijaacha kitu labda uzue mjadala ni mada nyingine
Wafia dini za kule mbali mjee
Kwanza niseme inaonekana umesoma au umesimuliwa Quruani kama hadithi lakini siyo kwa kuielewa ndiyo maana hukuilewa,nitaanza na hapa uliposema Yesu atakuja kuwahukumu wanadamu,kwani Yeye ndiye aliyewaumba?Mwenye uwezo wa kuwahukumu Wanadamu ni Mungu peke yake ambaye ana sifa zote za Uungu,hakuzaliwa hafi,hana mwanzo wala mwisho
Kwa kutokujua hicho tu unaonekana mwenyewe elimu yako ni ndogo kiasi kwamba huna uwezo wa kumchambua Issa na Yesu
Unaelewa lakini au unapiga kelele.Kusema Quran ni complete ni mfumo mzima hiyo ni Imani waliyojijengea Waumini lakini kiuhalisia Quran ukiichambua inabaki kuwa kitabu ambacho kimepungua kama nilivyowahi kueleza.
Huwezi sema Quran ipo Complete Wakati ikiulizwa maswali madogo haina uwezo wa kujibu.
Unaelewa lakini au unapiga kelele.
Swali lipi mfano? Bible karibu vitabu kibao ila ina contradiction
Waislamu wanaishi maisha ndo maana wana sheria zao na muundo wa kila kitu.
Nchi inaweza kuishi mfumo wa kiislamu
ExactlyUnaelewa lakini au unapiga kelele.
Swali lipi mfano? Bible karibu vitabu kibao ila ina contradiction
Waislamu wanaishi maisha ndo maana wana sheria zao na muundo wa kila kitu.
Nchi inaweza kuishi mfumo wa kiislamu
Kila mtu ashinde mechi zake na kila dini iamini manabii wake…Sasa kwanini waislam wanafosi Issa awe Yesu?
Mimi kinachonishangaza ni kwanini wafosi?? Kwani wakibaki na Issa wao bila kumhusisha Yesu kuna kitu watapungukiwa?? Au wanataka approval ya wakristo??Hiyo ndio shida, wanafosi Issa ni Yesu, Wakati kiuhalisia sio
Jesus jina lake halisi ni ieasous angalia video hii utaelewa vizuri
Mimi kinachonishangaza ni kwanini wafosi?? Kwani wakibaki na Issa wao bila kumhusisha Yesu kuna kitu watapungukiwa?? Au wanataka approval ya wakristo??
Au ni inferiority complex??
What are they trying to gain kwa kufosi issa ni Yesu?
Inakuaje mtu ambae hajui kusoma na kuandika (Muhammad s.a.w) anakuja kutoka jangwani huko alafu anasema kulikua na mtume miaka kadhaa nyuma alikua anaitwa iesa na wala hakusema Jesus then baadae watu wanakuja kugundua kuwa kuna uwezekano Jesus alikua anaitwa iesa Kwa kusadiki maneno ya mtume.Ieasous ni kigiriki ambacho kimetohoa jina la kiebrania Yeshua, zingatia Kwenye Kigiriki hakuna Sauti Y, Sh ndio maana katika kuisikia Yeshua Sauti Y ya kiebrania wao ikaja Sauti "Ie"
Pia Kwenye Sauti "sh" imekuja saut "s" ikawa iesous"
Hayo ni mambo ya Fonetiki, fonolojia Mkuu.
Mzizi wa neno wa neno hilo ni S.
Inakuaje mtu ambae hajui kusoma na kuandika (Muhammad s.a.w) anakuja kutoka jangwani huko alafu anasema kulikua na mtume miaka kadhaa nyuma alikua anaitwa iesa na wala hakusema Jesus then baadae watu wanakuja kugundua kuwa kuna uwezekano Jesus alikua anaitwa iesa Kwa kusadiki maneno ya mtume
Je hatusadiki kwamba alikua hasemi Kwa matakwa yake bali ilikua ni revelation kutoka Kwa mungu
Hizo hadithi huwa mnasoma na kuzielewa kweli,Yesu hata uhukumu ulimwengu, lakini atakuja kipindi kinachokalibia na mwisho wa dunia na atamkuta mtu mmoja anaitwa Masiha Dajal ambaye atawapitisha watu katika mitihani migumu ya imani, ukimfuata umepotea, ukimkataa umeokokaMuhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly ;.....Sahih al-Bukhari 3448
Unaijua kweli Quruani au unasema kwa mapenzi yako tu?ibe nipe kifungu kinachozungumzia kuto kuowa kwa Mapadri na mimi nikupe kifungu cha kuoa Wake wengi katika UisilamuVizuri Kwa uthibitisho kuwa Quran haijitoshelezi, Kwa kushindwa kuelezea Wahusika wake. Niliandika hapa kwenye Uzi Fulani kuwa Quran sio kitabu kikuu cha kumuongoza MTU Kwa sababu hakijitoshelezi