Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Are the same sema tu wamekuwa viewed and explained tofauti according to each ones interest and percepective ila story zao ziko alike somehow ila kuna slight differences. Na pia inawezekana Yesu na Issa tunaoambiwa habari zao story zote zimepindishwa kwa interest flan.
 
wewe usidanganye bana, hawa watu ni tofauti kabisa labda hujafuatilia. Hata mimi nlikua nawaza hivyo, yesu si issa.
 
Hawa watu waliishi karne ipi?

Jee kujua kama ni sawa au tofauti itatusaidia nini?

Nani ana authority wa kutoa kauli ya mwisho katika kuthibitisha hili?

Tungepata mabaki yao labda DNA analysis ingeondoa utata au vipi?

Anyway, ni historia...kama ya Nyerere na muungano wake!
 
are the same sema tu wamekuwa viewed and explained tofauti according to each ones interest and percepective ila story zao ziko alike somehow ila kuna slight differences. Na pia inawezekana Yesu na Issa tunaoambiwa habari zao story zote zimepindishwa kwa interest flan

Hawa ni wawili tofauti!
Hata maana ya majina hayo mawili yana maana tofauti;
Angalia kamusi ya kiarabu Munjid, maana ya neno Yesu ni Mwokozh. Neno Issa ni wekundu ulio changanyika na weupe!(zeruzeru)!
Ima fanya jaribio hili;
Mtu aliye pagawa na pepo jaribu kulito kwa jina la issa litakuvamia!
Ukilitoa kwa jina la Yesu litatetemeka na kuchimba.
 
Waislamu wanadanganya watu, eti Yesu ndio lssa bin Mariam, lakini hawa ni watu wawili tofauti kabisa.
Yesu alizaliwa kwenye hori la ng'ombe na lssa bin Mariam yeye alizaliwa chini ya mtende.

Ni kweli kabisa!

1. Yesu ni mwokozi wa wanadamu - ni njia (ya kwenda kwa Mungu), ukweli (wenyewe) na uzima (wa milele).
2. Alizaliwa, aliteswa, akafa na kufufuka na atakuja tena kuwahukumu wazima na wafu na utawala wake hauna mwisho. Issa hakuteswa, hajafa na wala hana uwezo wa kuwapa watu uzima wa milele au kuwahukumu wazima na wafu.
3. Yesu yupo na wanaomwamini hadi mwisho wa nyakati lakini Issa hapana! Ngoja nivute pumzi kwanza.
 
YESU Alipo zaliwa sauti ilitoka JUU. HALELUYAAA.
Kwa mujibu ku lani isa alipozaliwa sauti ilitoka chini! duu.
 
Back
Top Bottom