FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,817
Huna Jibu.Tulia wewee
Kukosa jibu inamaanisha umenielewa ipasavyo kwa swali langu tu.
Hongera.
Huna Jibu.Tulia wewee
Bado hujapata akili tu!?..una umri gani!?..Kwahiyo unaamini katika Yesu kristo mwana waMungu aliye hai,ajaye kuwahukumu wanadamu?
Kwahiyo bila Yesu kurwani haijakamilika. ?
Haya bibie heshima kwakoHuna Jibu.
Kukida jibunina maana umenielewa ipasavyo kwa swali langu tu.
Tulia weweeBado hujapata akili tu!?..una umri gani!?..
Endelea kujifariji ukijiminya korodaniAgano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.
Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.
Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
Nakupongeza mtoa mada kwa kuonyesha gaps zilizopo kwenye Quran ambapo hawa wanayoiamini wanalazimisha kusema Issa wa kwenye kitabu chao ndiye Yesu Kristu wa kwenye Biblia.. Leo umewaumbua
Ndiyo ID yako ya pili!?Tulia wewee
Umewahi kuigusa Qur'an kweli!?..hata Kama hukuwahi,unadhani kujua issa kazaliwa wapi ni mission ya Qur'an!?
Hakuna i , sio kiarabu hichoNi iliyahu/iliyabu ..hakuna 'e'
Ila Wafuasi wa Mudi mna vituko. Haya nawaachia jamvi naenda Zangu kulala.Ndiyo ID yako ya pili!?
Hahahaha .....ni-youtubike wakati vitabu vipo?Acha uvivu kijana. Ingia hata youtube andika "how to pronounce Jesus in aramaic" halafu uone kama itakuja uongo uliouandika.
Kiebrania na kiarabu haviachani,ni semitic languages,I ipo,binyamin, Yitzhak,ilohim nkHakuna i , sio kiarabu hicho
Hakuna binyamini, ni Benyamini , na Elohim.Kiebrania na kiarabu haviachani,ni semitic languages,I ipo,binyamin, Yitzhak,ilohim nk
Unaleta ligi za kitoto,ngoja nikuacheHakuna binyamini, ni Benyamini , na Elohim.
Sio kwamba kisemitiki ndo ifanane, kwanza Kiebrania ni mchanganyiko wa lugha ya kisemitiki na kikanani .
Ww ni mjinga huna hoja za kuleta unaanza kuleta porojo
Sio ligi za kitoto mi nimesomea.Unaleta ligi za kitoto,ngoja nikuache
Mfano kuna mmoja hapa hapa Jamiiforum nilimuuliza swali kakimbia mazima, hajajibu.
Anasema Biblia imebadilishwa akaleta na vi-evidence uchwara. Lakini huyo huyo akasema Yesu sio Mungu, lakini proof anazoleta ni maandiko kutoka kwenye Biblia.
Nikamuuliza kama unasema Biblia imebadilishwa, una uhakika gani hayo maandiko ya Biblia unayoleta kutetea hoja yako, hayajabadilishwa?
Siku ya tatu leo nasubiri jibu, bado yuko kimya.
Kumbe Yesu alikufa?Hayo yote unayoyasema yaliabdikwa Nicea miaka zaidi ya 300 baada ya kifo cha Yesu, alayhi salaam.
Yesu na Isa ni watu wawili tofauti, hawafanani kwa chochote.Robby,Issa kazaliwa miaka 600Anno Dominos.....Issa kazaliwa Madina kafia Makkah,Yesu kazaliwa Bethlehem zamani kabisaa huko enzi za za utawala wa Rumi kipindi Cha kina Ceisar Agustus na kina Herode,,,Issa kazaliwa Karne 6 baada ya Yesu...Sasa anakuwa vipi mtu mmoja,hakuna hoja hapa
Binafsi nilisoma kwa hamu sana kutaka kujua huo utofauti...Kimapokeo ya kinadharia...najua Yesu ndo Issa.
Jinsi unavyotoa tofauti na ulinganifu hakuna sehemu ambazo zinakinzana-isipokuwa umebaze kwenye kutokua na taarifa au kwa sababu kitabu kimoja kimekaa kimya haimaaniishi kuwa sivyo ilivyokua...
Mfano ukisema Yesu alizaliwa Bethlemu kwenye zizi la ng'ombe.Huwezi ukasema sababu Qurani haisemi alizaliwa wapi basi ni vitu viwili tofauti....Qurani ingesema labda Issa alizaliwa Medina na huku Biblia inasema Yesu akizaliwa Bethlehemu..then ungekuwa na point.
Kumbuka, Quran haikuwa interested sana kumuongelea Issa..na kama kugusia tu..WAKATI kwenye Biblia Yesu ndo main character...hasa agano jipya.
Kwa hiyo binafsi sijaona huo utofauti...bado hujaweza kutoa fact zinazokinzana...zote za upande mmoja.
Imagine Yesu alisema ALIKUWEPO kabla ya Ibrahimu, Isa hakuwepo , yaani Yohana 8 tu ishamaliza Kila kitu, watakuwaje sawa?Nakushauti rudia kusoma upya,harafu usikaze fuvu iruhusu akili yako ipokee mtazamo mpya.