Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Unaijua kweli Quruani au unasema kwa mapenzi yako tu?ibe nipe kifungu kinachozungumzia kuto kuowa kwa Mapadri na mimi nikupe kifungu cha kuoa Wake wengi katika Uisilamu


Hiyo ni mada nyingine, Anzisha alafu tuje tujadili. Uzi uliopo ni Yesu Vs Isa. Kama huna chochote cha kuchangia wapishe wengine
 
Naongezea
Yesu ALIKUWEPO kabla ya Ibrahimu kama ilivoandikwa
Yohana 8:58
[58]Yesu akawaambia, Amin, amin, nawaambia, Yeye Ibrahimu asijakuwako, mimi niko.
Jesus said unto them, Verily, verily, I say unto you, Before Abraham was, I am.

Nabii Isa bin Maryam (Na Amani iwe juu yake) hakuwepo kabla ya Ibrahimu.

Ni kweli Kabisa.
Ni Wahusika Wawili tofauti kabisa
 
ivi Yesu nadhani atakuwa na jina lingine kabla ya kudhaliwa duniani!Ni lipi hilo?
 
Vizuri Kwa uthibitisho kuwa Quran haijitoshelezi, Kwa kushindwa kuelezea Wahusika wake. Niliandika hapa kwenye Uzi Fulani kuwa Quran sio kitabu kikuu cha kumuongoza MTU Kwa sababu hakijitoshelezi
QUR'AN siyo kitabu Cha wasifu/biography,ni kitabu Cha kumuongoza mtu kumjua muumba wake na vile anataka Aishi duniani, Quran imetaja manabii wengi toka Adam,lut, Ibrahim mpaka Muhammadi,we unataka itaje majina yao wote na koo na wanafunzi wao!!?..yesu kiebrania yeshua au y'shua.

Sasa kiebrania ismail wanasema Ishmael,toa hiyo sh bakiza 's' Kisha tamka uone linakuja jina gani,ukiona kazi google kigiriki jina yesu,utapata na linavyotamkwa,yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe Kama wengi mnavyoamini,hori la ng'ombe ni pahala ng'ombe wanatumia kula na kunywa,na alipozaliwa ilikua mid summer,kiasi wafuga ng'ombe waliweza ona mifugo yao usiku,mid summer tende huwa mbivu Kama Quran ilivyosema kwenye mazazi ya ISSA/yesu...kukataa issa si yesu ni ujuha unaotokana na kukosa hoja
 
Kusema Quran ni complete ni mfumo mzima hiyo ni Imani waliyojijengea Waumini lakini kiuhalisia Quran ukiichambua inabaki kuwa kitabu ambacho kimepungua kama nilivyowahi kueleza.

Huwezi sema Quran ipo Complete Wakati ikiulizwa maswali madogo haina uwezo wa kujibu.
Maswali gani madogo ambayo hayana majibu kwenye Qur'an?!
 
QUR'AN siyo kitabu Cha wasifu/biography,ni kitabu Cha kumuongoza mtu kumjua muumba wake na vile anataka Aishi duniani, Quran imetaja manabii wengi toka Adam,lut, Ibrahim mpaka Muhammadi,we unataka itaje majina yao wote na koo na wanafunzi wao!!?..yesu kiebrania yeshua au y'shua...Sasa kiebrania ismail wanasema Ishmael,toa hiyo sh bakiza 's' Kisha tamka uone linakuja jina gani,ukiona kazi google kigiriki jina yesu,utapata na linavyotamkwa,yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe Kama wengi mnavyoamini,hori la ng'ombe ni pahala ng'ombe wanatumia kula na kunywa,na alipozaliwa ilikua mid summer,kiasi wafuga ng'ombe waliweza ona mifugo yao usiku,mid summer tende huwa mbivu Kama Quran ilivyosema kwenye mazazi ya ISSA/yesu...kukataa issa si yesu ni ujuha unaotokana na kukosa hoja

Yeshua Kwa Kiarabu ni Yashu na sio Issa.
Chukua Biblia ya Kiarabu alafu uone kama utakuta neno ISSA zaidi ya kukuta Yashu.

Kigiriki hakina Sauti "Y" "sh" ndio maana kigiriki Jina Yeshua linaandikwa Iesous.

Tuje kwenye maana ya neno issa, Kwa mujibu wa Quran ISSA inaamaanisha nini?
Yeshua "Yesu" ni Mwokozi.
 
Ntajie hizo nchi, nitajie vitabu wanavyotumia, kisha Lugha.
Issa Kwa Kiarabu sio Yesu,
Yesu Kwa Kiarabu ni Yashu!

Unaposema wazungu wamebadilisha ndio jibu la hoja zilizotolewa hapo juu.
Wamebadilisha lini? Wapi? Walikuwa Nani na Nani?
Au ndio mnaongea bila kutoa details kama ilivyo Quran?

Nilitegemea utakuja kusema Yesu ni ISSA au sio Issa Kwa Hoja 1,2,3,4...
Kwa sababu hakuna ubishi kuwa Yesu alikuwa Muebrania, na jina lake ni Yeshua, sasa nilitegemea ungeanzia hapo
Uniambie biblia ya kiarabu ilikuja mwaka gani na uweke ushahidi.
Hiyo video hapo papa akimsahihisha Netanyahau alipokuwa Israel lugha aliyokuwa anaongea Isa ambacho kiaramaic. Kisha utaniambia hilo jina la kiaramaic kama yanaendana na hayo majina uliyotoa.
Msiwe mazezeta. Tukusikilize wewe au tuwasikilize wenye vitabu wanawaotolea version.
Hiyo biblia ya kingereza tu imekuja juzi juzi tukiacha hiyo ya kiarabu.
Ungesema labda kwa upande wa biblia imemueleza kiukweli kuliko sehemu nyingine.
Kusema ishu ya majina nitakuona una matatizo ya ubongo. Kwa sababu wamepita wengi miaka na miaka. Hiyo Yesu, Jesus ni majina walioamua huko Vatican.
Msikilize Nyetahau na Pope wahusika wenyewe wa huko lugha yake kisha ugoogle kiaramaic ujionee.

 
Uniambie biblia ya kiarabu ilikuja mwaka gani na uweke ushahidi kipindi inatumika classical arabic hilo jina lilikuwepo.
Hiyo video hapo papa akimsahihisha Netanyahau alipokuwa Israel lugha aliyokuwa anaongea Isa ambacho kiaramaic. Kisha utaniambia hilo jina la kiaramaic kama yanaendana na hayo majina uliyotoa.
Msiwe mazezeta. Tukusikilize wewe au tuwasikilize wenye vitabu wanawaotolea version.
Hiyo biblia ya kingereza tu imekuja juzi juzi tukiacha hiyo ya kiarabu.
Ungesema labda kwa upande wa biblia imemueleza kiukweli kuliko sehemu nyingine.
Kusema ishu ya majina nitakuona una matatizo ya ubongo. Kwa sababu wamepita wengi miaka na miaka. Hiyo Yesu, Jesus ni majina walioamua huko Vatican.
Msikilize Nyetahau na Pope wahusika wenyewe wa huko lugha yake kisha ugoogle kiaramaic ujionee.

 
Yohana 9
39 Yesu akasema, “Nimekuja ulimwenguni humu kwa ajili ya kuhukumu, ili wale walio vipofu wapate kuona, nao wale wanaoona, wawe vipofu.”
Mleta mada ungekuwa unaulewa huu mstari vizuri. Hata mada yako ya kibaguzi usingeileta.

Kiufupi wewe ni wale waliokuwa wanaona lakini baada ya Yesu kuja wakawa vipofu. Amini injili upate neema ya kuona tena.
 
Issa alizaliwa Wapi?
( فَأَجَاءَهَا الْمَخَاضُ إِلَىٰ جِذْعِ النَّخْلَةِ قَالَتْ يَا لَيْتَنِي مِتُّ قَبْلَ هَٰذَا وَكُنتُ نَسْيًا مَّنسِيًّا )

مريم (23) Maryam

Kisha uchungu ukampeleka kwenye shina la mtende; akasema: Laiti ningeli kufa kabla ya haya, na nikawa niliye sahaulika kabisa!
 
Ni wawili tofauti Yesu alizaliwa Mariam kwa uweza wa Roho Mtakatifu
pia Yesu ni Mungu soma 1timothy 3:16, tito2:13, yohana20:28-29 na isaya 9:6
Mungu awabariki. Mjadala uendelee kwa aman na upendo.
 
Yeshua Kwa Kiarabu ni Yashu na sio Issa.
Chukua Biblia ya Kiarabu alafu uone kama utakuta neno ISSA zaidi ya kukuta Yashu.

Kigiriki hakina Sauti "Y" "sh" ndio maana kigiriki Jina Yeshua linaandikwa Iesous.

Tuje kwenye maana ya neno issa, Kwa mujibu wa Quran ISSA inaamaanisha nini?
Yeshua "Yesu" ni Mwokozi.
Biblia ya kiarabu ilibadilishwa majina miaka 1880s,maana mji wa hijja kwenye biblia kipindi hicho uliandikwa bacca, waislam waliposoma biblia wakawaambia makasisi,matokeo yaliyofuata jina likabadilishwa,hata kwenye biblia za kiswahili hapajaandikwa ismail Bali Ishmael kufuata matamshi ya kiebrania,so biblia ya kiarabu yesu kuitwa yashu ni yaleyale tu,yeshua si kigiriki ni kiebrania,Wana version mbili wanavyoandika Hilo jina kwa kirumi,yeshua na y'shua...linatamkwa 'yiishias', kiebrania hakina 'e' ni Aramaic/semitic Kama kiarabu,kwenye 'yiishias' ondoa 'sh' ya kiebrania weka 's' ya Kiarabu Kama kwenye Ishmael na ismail uone unapata jina gani
 
Back
Top Bottom