Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Ulivosema Tu Issa Haijulikani Kazaliwa mkoa Gan Inajulikana Kazaliwa Chini Ya Mtende tu Nikaacha Kuufatilia Uzi.
Kama Hili Tu Hujui Basi Kuna mengi Umedanganya au Hauyajui Kwa undani
Binafsi Isa Inajulikana Kazaliwa wapi

Kwa mujibu wa kurwani issa alizaliwa kipindi cha utawala gani na alizaliwa mji gani?tunasubiri majibu yako kwa reference ya kurwani
 
But why kila nikifungua ZBC nakuta sheikh anasema,Huyo wanae muita Yesu ndio Issa.🤔🤔🤔Nini tatizo?
Pili ukisema kuwa Isa sio Yesu, ni sawasawa na kusema dini ya Kiislamu ni uongo, so hapo watajaribu Kila namna wamrelate Isa na Yesu Ili ionekane kuwa Mungu wao alikuwaga Mungu wa Wayahudi.
 
Ulitakiwa uanzie aramaic alikuwa anaitwaje? Unaleta mambo Yeshua mara Jesus mara Yesu wakati matamshi pipa na mfuniko.
Hoja yangu ukichukulia kwa muundo wa kutofanana majina haina mashiko.
Qur'an imetangulia kabla ya biblia ya kiarabu, kingereza na kiswahili. Walikaa wakapanga huko Roma.
Chunguza hilo jina la Yesu nchi mbalimbali majina yanayotumia kuna wakristo wanatumia Isus, Isa, Iso.
Uwelewa wako mdogo unachukulia sample ya lugha zilizoikuta kiarabu kwa miaka mingi kama kingereza na kiswahili

Nchi gani hizo si uzitaje??
 
Ujaji wao
Issa atakuja kupambana na Masihi dajal Masihi wa Wayahudi, akija isa ndio dalili za kiama.

Yesu Kristo atakuja kulichukua kanisa atabakia mawinguni waliowake watakuwa na uwezo wa kupaaa kwenda kumlaki yaani unyakuo.
 
Mkuu YESU AKUZALIWA KWENYE HOLI LA NG’OMBE kuwa makin kusoma hii haya najua we ni Msomi iv kweli unashindwa kujua hapa biblia haijui yesu wapi kazaliwa eneo lip SOMA KWA UMAKIN

IKIWA KATIKA KUKAA HUKO SIKU ZAKE ZA KUZAA ZIKATIMIA AKAJIFUNGUA MTOTO WAKE WA KWANZA WA KIUME AKAMVIKA NGUO ZA KITOTO
AKAMLAZA HORIN KWA SABABU HAWAKUPATA NAFAS KATIKA NYUMBA ZA WAGEN
LUKA 2:6-7

Hapo tunaona yesu kalazwa horin na sio kuzaliwa na kisa

Mkuu we ni mwanafisii sana naomba udadavue hili andiko

Tuambie Yesu alizaliwa wapi?
 
Yesu ni Mungu, isa ni mwanadamu. Uungu wa Yesu, aliitwa Yesu baada ya kuja duniani baada ya kuuvaa mwili kabla ajauvaa mwili alikuwa Roho akiitwa NENO. Neno means uzima na utukufu u ndani yake, Yesu means Mwokozi aliyewakomboa watu wake toka dhambini.
 
Unasemaje? Qur'an ipi isiyotosheleza? na haitoshelezi kwenye nyanja ipi ya maisha? Qur'an ina sura 114 na karatasi 300 kwa mpangilio wa chapa nyingi maarufu, umewahi kuisoma hata asilimia 10? na baada ya kuisoma kuelewa maana na makusudio yake?.

Sisi tunamaliza umri tukitafuta ubobezi kwenye tafsiri ya Qur'an wewe mmakonde mwenzetu tena usiye muislamu unapata wapi guts za kusema ni kitabu kisichotosheleza kuwa ni muongozo, kuna kitabu gani basi kitatosheleza kama Qur'an ina mapungufu? forex for dummies au?.

Sijataka kuingilia mjadala wa ISSA na YESU kwasababu nimeona hauna mantiki ni kama kusema CCM sio CHAMA CHA MAPINDUZI kwasababu hiki kingine kina jina refu, ila nimekuwa curious kujua upungufu wa Qur'an, karibu kwa mjadala.

Huna hoja kaa kimya,unaweza maliza umri hatq kwenye mambo ya kipuuzi.
 
Toleo la biblia la kiswahili la impremanto wewe umeliona!?..kaulize kanisani wakupe,toleo la biblia tulilotumia 1990s mwishoni tu limebadilishwa,maneno Kama swaumu, sikukuu ya IDD,kuwatawadha miguu wanafunzi yametolewa na kuweka mengine mfano kuwaosha miguu wanafunzi nk, nimekwambia kiebrania yesu akiitwa y'shua, kiebrania Ishmael wakati kiarabu ismail, tofauti ya sh na s, kwenyewe y'shua toa sh weka s ili upate kwa kiarabu jina litatamkwa vipi,au Ishmael siyo ismail!?..vizuri umeweka kigiriki hapo,linatamkwaje kigiriki kwa mujibu wa ulivyoandika?

Unavyokaza fuvu hadi unatia aibu,biblia hufanyiwa tafsiri ili iendane na mabadiliko ya lugha sehemu mahalia.
 
Ina maana kitabu Cha Qur'an iliyotafsiriwa na Yusuf Ali haijakamilika?
Hoja zingine hizi

Yesu alikufa, Isa hakufa alafu unasema ni kama CCM na Chama Cha Mapinduzi.

Nionyeshe sehemu kwenye Biblia inayosema Yesu hakufa ndo tuamini usawa wa Yesu na Isa.
 
Uzuri ni kuwa Imani ya uislamu haitaji approval kutoka Kwa watu wa dini nyengine. Amini utakavyoamini lakini Imani yako haibadilishi chochote juu Imani ya uislamu. Uislamu utakuwa vilevile.

Itakua vile vile kwako uliyeamua kukaza fuvu na kukosa hoja,ila waelewa na wenye kujifunza wanafahamu ukweli,isa ni fiction character wa mudi kamwe hawezi fananishwa na Yesu wa biblia.
 
Unavyokaza fuvu hadi unatia aibu,biblia hufanyiwa tafsiri ili iendane na mabadiliko ya lugha sehemu mahalia.
Toleo la biblia la kiswahili la impremanto wewe umeliona!?..kaulize kanisani wakupe,toleo la biblia tulilotumia 1990s mwishoni tu limebadilishwa,maneno Kama swaumu, sikukuu ya IDD,kuwatawadha miguu wanafunzi yametolewa na kuweka mengine mfano kuwaosha miguu wanafunzi nk, nimekwambia kiebrania yesu akiitwa y'shua, kiebrania Ishmael wakati kiarabu ismail, tofauti ya sh na s, kwenyewe y'shua toa sh weka s ili upate kwa kiarabu jina litatamkwa vipi,au Ishmael siyo ismail!?..vizuri umeweka kigiriki hapo,linatamkwaje kigiriki kwa mujibu wa ulivyoandika?
Mbona kwenye King James Version ya 1611 hakuna neno Swaumu, idd Wala sheikh?
Nionyeshe hapa King James Version ya 1611 na siyo hii Biblia ya Kiswahili iliyotafsiriwa na masheikh kwasababu wazungu walikuwa hawajui lugha ya Kiswahili.
 
Back
Top Bottom