Tofauti kati ya Yesu na Nabii Issa
Watu wanawatukana waisrael , mara wanasema dini Yao ilikuwepo siku nyingi lakini ukisoma vitabu vyao?

Mfano Kitabu Cha Buhari sahihi Muslim hadithi ya 1130 hata hii funga Mzee mwenyewe Mudi alikopita kwa wayahudi walipokuwa wanafunga kukumbuka siku walipokombolewa utumwani misri
 
Uislamu una matobo Sana ,mfano hii hoja ya Isa sio Yesu ,unaona inavyoshindwa kujitetea

Kwenye Biblia mfano Mika aliishi miaka 700 kabla ya Yesu, lakini anatabiri exactly kuhusu Yesu,

Vivyo hivyo kwa Yeremia,Isaya ,Daudi , Ezekiel ,n.k

Hata Yesu kwenye kuwabana Wayahudi alikuwa anarejea Sana Maandiko ya hao manabii

Mfano Zaburi 22 Ni full kuhusu Yesu

Isaya 61 ,53 zinamuhusu Yesu

Utaona Wanamtabiri Kama mwana wa Daudi ,atatokea kwenye huo ukoo ,

Hadi Yesu anakuja ,Kuna mlolongo mkubwa unathibitisha habari zake

Lakini Quran haipo hivo imeokotaokota na kubumba habari

Manabii wa zaman walieleza had kwann Yesu ataitwa Hilo jina Yehoshua au Joshua

Quran haisemi chochote ,

Maana ya Jina Isa kwa kiarabu Ni Wekundu

Yehoshua /Joshua /Jesus/Yesu ni Mwokozi

Hilo jina linasadifu had aliyokuja kuyafanya huyo Yesu

Hivo kwa hoja lukuki ISA SIO YESU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba Qur'an haijataja mwanzo wa habari za nabii issa amani iwe juu yake ama?.
 
Je kama hivyo wanaume Waislamu wanatakiwa wapake wanja na hina kama Mtume muhamad.

Kama ni hivyo wanaume wa kiislamu wanatakiwa wawanyonye wanaume wenzao ulimi na kuwalamba midomo wakiwa uchi msikitini jinsi alivyo fanya mudi.

Kama ni hivyo wanaume wote Waislamu wanatakiwa kuwabaka vibinti vya miaka sita na kupotezea kuwaoa wakiwa miaka 9.

Gavana
Mgen yako wapi makatuni Leo ?
 
K
Ndgu zangu waislam em njooni mtujuze hapa,hili suala wanaliongea sana kwenye mihadhara hasa wakienda sehemu zenye wakristo wengi.

Binafsi sijawahi kuona wakristo wakitumia Quran kama rejea yao ila waislam ni mara nyingi hufanya hivyo.
Kwa maana hiyo hulitaja saana jina Yesu wakisema ndie Issa.
FaizaFoxy njoo utujuze hapa, Yesu ni Issa au ni watu tofauti?? Kama ndio ni kwanini na kama sio kwanini waislam hupenda kumtumia Yesu kama Issa??
Kwanza nikuulize Jesus ndiye Yesu au ni watu tofauti?
 
Watu wanawatukana waisrael , mara wanasema dini Yao ilikuwepo siku nyingi lakini ukisoma vitabu vyao?
Mfano Kitabu Cha Buhari sahihi Muslim hadithi ya 1130 hata hii funga Mzee mwenyewe Mudi alikopita kwa wayahudi walipokuwa wanafunga kukumbuka siku walipokombolewa utumwani misri
Alisema sisi tuna haki zaidi na mussa alayhi ssalaam kuliko wao hivyo akaamrisha tuifunge, na ni kweli sisi ndio tuna haki na mussa kuliko mayahudi kwasababu sisi tumemuamini yeye na mitume wote wa wana wa israeli, wakati wao walifikia kuwaua kabisa mitume wao.
 
Kabla ya hapo walikuwa wanafunga?
 
Uislamu una matobo Sana ,mfano hii hoja ya Isa sio Yesu ,unaona inavyoshindwa kujitetea

Kwenye Biblia mfano Mika aliishi miaka 700 kabla ya Yesu, lakini anatabiri exactly kuhusu Yesu,

Vivyo hivyo kwa Yeremia,Isaya ,Daudi , Ezekiel ,n.k

Hata Yesu kwenye kuwabana Wayahudi alikuwa anarejea Sana Maandiko ya hao manabii

Mfano Zaburi 22 Ni full kuhusu Yesu

Isaya 61 ,53 zinamuhusu Yesu

Utaona Wanamtabiri Kama mwana wa Daudi ,atatokea kwenye huo ukoo ,

Hadi Yesu anakuja ,Kuna mlolongo mkubwa unathibitisha habari zake

Lakini Quran haipo hivo imeokotaokota na kubumba habari

Manabii wa zaman walieleza had kwann Yesu ataitwa Hilo jina Yehoshua au Joshua

Quran haisemi chochote ,

Maana ya Jina Isa kwa kiarabu Ni Wekundu

Yehoshua /Joshua /Jesus/Yesu ni Mwokozi

Hilo jina linasadifu had aliyokuja kuyafanya huyo Yesu

Hivo kwa hoja lukuki ISA SIO YESU

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo yote unayoyasema yaliabdikwa Nicea miaka zaidi ya 300 baada ya "kifo" cha Yesu, alayhi salaam.
 
Hivi ukienda pale uhamiaji ukiulizwa Umezaliwa wapi utajibu Umezaliwa Chini ya mwembe au chini ya mtende?
Unafikiri Hii Dunia inamitende au miembe mingapi?

Majibu yako yataonyesha Mimi na wewe analeta Porojo

Hii hoja uliyojenga hapa ni nzito.

Quran inatapatapa sana.

Ni MPINGA kristo na NABII WA UONGO.

Hata hospital Zina majina, wilaya na mikoa.

Quran INASEMA Amezaliwa chini ya mtende chenzi.
 
Kwanza niseme inaonekana umesoma au umesimuliwa Quruani kama hadithi lakini siyo kwa kuielewa ndiyo maana hukuilewa,nitaanza na hapa uliposema Yesu atakuja kuwahukumu wanadamu,kwani Yeye ndiye aliyewaumba?Mwenye uwezo wa kuwahukumu Wanadamu ni Mungu peke yake ambaye ana sifa zote za Uungu,hakuzaliwa hafi,hana mwanzo wala mwisho

Kwa kutokujua hicho tu unaonekana mwenyewe elimu yako ni ndogo kiasi kwamba huna uwezo wa kumchambua Issa na Yesu

Wewe mwenye elimu kubwa tunaomba uchambuzi wako.
 
Mtu anayeanza na hoja ya dini zimeletwa siku zote ni wa kupuuzwa, tumeletewa mpaka nguo mbona hatujagoma tukatembea uchi,tumeletewa tiba za hospitalini hatujagoma,ila dini kwa sababu kwa upande wako mambo hayaendi unataka wote wazikatae, we baki na ignorance yako kuhusu mambo ya dini.

Sisi wengine ni Christians, na tunamuona Mungu katika maisha yetu haijalishi dini hzi kuna mtu alizipokea kwanza kisha na sisi tukazipokea au tumeitunga wenyewe,the fact kwamba its true is enough for us.

Enough kwako mtumwa wa kifikra
 
Labda tukusaidie,kwanza ujue jinsi hivi vitabu vilivyoandikwa,lakini ni wajibu wako mwenyewe kuamini au kutokuami,Biblia inatokana na vitabu vya

Hizo hadithi huwa mnasoma na kuzielewa kweli,Yesu hata uhukumu ulimwengu, lakini atakuja kipindi kinachokalibia na mwisho wa dunia na atamkuta mtu mmoja anaitwa Masiha Dajal ambaye atawapitisha watu katika mitihani migumu ya imani, ukimfuata umepotea, ukimkataa umeokoka

Yesu atamuuwa masiha Dajal, naye atakufa, maana katika mwisho wa dunia kila kitu kitakufa, mpaka malaika watakufa, atabaki Mungu peke yake kama alivyoumba dunia, ndiyo utakapoanza ufufuo kwa viumbe wake, na mtu wa kwanza kufufuliwa atakuwa Mtume Muhammad (S.A.W) baada ya hapo itaanza hukumu, itachukua miaka alfu5 huku watu wamesimama hakuna kulala wala kula, huo ndiyo Uisilamu elimu pana hakuna kitu kilichofichwa

Stori za kusadikika,ni wapuuzi na wajinga watakao weza amini huu upuuzi.
 
Na kama atakuwa MTU mmoja ni lazima wajenge hoja zenye mashiko ambazo hata asiyeijua Biblia na Quran aseme ndio.
Lakini mpaka sasa naona wanapishana angani
Robby,Issa kazaliwa miaka 600Anno Dominos.....Issa kazaliwa Madina kafia Makkah,Yesu kazaliwa Bethlehem zamani kabisaa huko enzi za za utawala wa Rumi kipindi Cha kina Ceisar Agustus na kina Herode,,,Issa kazaliwa Karne 6 baada ya Yesu...Sasa anakuwa vipi mtu mmoja,hakuna hoja hapa
 
QUR'AN siyo kitabu Cha wasifu/biography,ni kitabu Cha kumuongoza mtu kumjua muumba wake na vile anataka Aishi duniani, Quran imetaja manabii wengi toka Adam,lut, Ibrahim mpaka Muhammadi,we unataka itaje majina yao wote na koo na wanafunzi wao!!?..yesu kiebrania yeshua au y'shua...Sasa kiebrania ismail wanasema Ishmael,toa hiyo sh bakiza 's' Kisha tamka uone linakuja jina gani,ukiona kazi google kigiriki jina yesu,utapata na linavyotamkwa,yesu hakuzaliwa kwenye zizi la ng'ombe Kama wengi mnavyoamini,hori la ng'ombe ni pahala ng'ombe wanatumia kula na kunywa,na alipozaliwa ilikua mid summer,kiasi wafuga ng'ombe waliweza ona mifugo yao usiku,mid summer tende huwa mbivu Kama Quran ilivyosema kwenye mazazi ya ISSA/yesu...kukataa issa si yesu ni ujuha unaotokana na kukosa hoja

Kwahiyo unaamini katika Yesu kristo mwana waMungu aliye hai,ajaye kuwahukumu wanadamu?

Kwahiyo bila Yesu kurwani haijakamilika. ?
 
Back
Top Bottom