Guest mbona hamlalamiki na mnakaa masaa machache tu? Tena hapo hapo Dar,?kumtumia mtu milioni moja kwa dar es salaam na kutoa jumla ya makato ni 29300 dah kwa makato haya si bora umtume boda boda
Kazi iendelee.Kutuma 5000 na kutoa makato ni 1000.
they dont care, huyo unayemwambia asitishe ndio huyo aliyezileta. hana akili, uwezo umefika mwisho. hayupo pampja na wananchi. why? kwa sababu huwezi kumfanya lolote. kama Kheri James alivyosemaga kuwa hamuwezi kutufanya lolote kudadeki zenu.Bei mpya za miamala ya kutuma na kutoa pesa linatoa picha mbaya serikali.
1. Serikali haiko na wananchi
2.serikali ingekuwa karibu na wananchi ingejua wananchi wana HALI GANI.
Hizo bei ni kubwa haikubaliki.
Mfano kutuma TSH 100000/= tunduma nikiwa mbeya
Kutuma= 3000
Kutoa = 7000
Jumla. = 10000
Maana yake:- nilitaka kutuma TSH 100000 nilazima niwe na zaidi ya TSH 110000.
Maana yake nini.
Maana yake ni hii hapa chini:-
Mbeya tunduma nauli = TSH 4000
Tunduma MBEYA
Nauli= TSH 4000
Kwanini hiyo hela nisipeleke mwenyewe nikaokoa TSH 2000.
Au nikampa dereva TSH 4000 anipelekee.
Hili jiwe tutakwepa.
Tutatumia mtandao ambao siyo rasmi wa mabasi ambao ulikuwapo hata kabla ya mpesa.
Sababu hua tuna pizi.Guest mbona hamlalamiki na mnakaa masaa machache tu?
hkumtumia mtu milioni moja kwa dar es salaam na kutoa jumla ya makato ni 29300 dah kwa makato haya si bora umtume boda boda
Serikali haujui mobile money bussines inafayaje kazi.Biashara zinaenda kufa
Haya yote yameanzia kwa magufuli. Kwanza alisababisha tukawa na wabunge vimeo wasio na akili wamejazana kule bungeni kwa kuiba kura.Aliposema mtanikumbuka mlimtukana na kumuita majina mabaya...
Cha ajabu kwao hamna mabadiliko ya ajabu kama kwa wengine!Bei mpya za miamala ya kutuma na kutoa pesa linatoa picha mbaya serikali.
1. Serikali haiko na wananchi
2.serikali ingekuwa karibu na wananchi ingejua wananchi wana HALI GANI.
Hizo bei ni kubwa haikubaliki.
Mfano kutuma TSH 100000/= tunduma nikiwa mbeya
Kutuma= 3000
Kutoa = 7000
Jumla. = 10000
Maana yake:- nilitaka kutuma TSH 100000 nilazima niwe na zaidi ya TSH 110000.
Maana yake nini.
Maana yake ni hii hapa chini:-
Mbeya tunduma nauli = TSH 4000
Tunduma MBEYA
Nauli= TSH 4000
Kwanini hiyo hela nisipeleke mwenyewe nikaokoa TSH 2000.
Au nikampa dereva TSH 4000 anipelekee.
Hili jiwe tutakwepa.
Tutatumia mtandao ambao siyo rasmi wa mabasi ambao ulikuwapo hata kabla ya mpesa.
Sasa Ni zamu yako. Tega vzr
Guest mbona hamlalamiki na mnakaa masaa machache tu? Tena hapo hapo Dar,?
Unajua raha ya kujifungia ndani na kufanya "meditation" kweli?😝😝😝Guest mbona hamlalamiki na mnakaa masaa machache tu? Tena hapo hapo Dar,?
Akisepa nayo je..!!?kumtumia mtu milioni moja kwa dar es salaam na kutoa jumla ya makato ni 29300 dah kwa makato haya si bora umtume boda boda