Hii ya KWENYE MIAMALA WANACHUKUA BURE MKUU๐๐๐๐๐ Alaa kwa hiyo huko zipo ni za kuchukua tuu? Ingekuwa hivyo wale wachimbaji wadogo wote wangekuwa matajiri..
Hakuna pesa ya bure hapa Duniani
Hii ya KWENYE MIAMALA WANACHUKUA BURE MKUU๐๐๐๐๐ Alaa kwa hiyo huko zipo ni za kuchukua tuu? Ingekuwa hivyo wale wachimbaji wadogo wote wangekuwa matajiri..
Hakuna pesa ya bure hapa Duniani
Ww ndio mpuuz ,kwan iyo ni kodi?Acha upuuzi sasa hapo ndio umeandika nini? Umeonewanwapi wewe unalia lia kama mwanamke.Kwa hiyo hutaki kulipa kodi akulipie nani?
Kumbe ni nini mzee? pole sana
saizi hatutaki kusikia "TUMA NA YA KUTOLEA"Kusema kweli hii kodi ya uzalendo alipo Musa hassan Zungu na Mwigulu nchemba, tunaomba Mungu aingilie kati
Mafuta tozo juu
Simu tozo juu
WENYEWE WANAPEWA MAFUTA BURE, AIRTIME WANALIPIWA(POSHO) , MISHAHARA YAO HAWAKATWI KODIView attachment 1853632
View attachment 1853630View attachment 1853631View attachment 1853632
View attachment 1853633
Ngoja kwanza kama suhala ni kodi je kuna muamala gan ambao haukatw kod?uku sio kujenga nchi uku ni kukomoa kwa sababu mtu hawezi kukataa kama suhala ni maendeleo iweje wachague huduma za sim ambazo watumiaj weng ni masikin wa kipato bas ata kama ndio kuchangia maendeleo si wangechukua kias fulan kidogo sio kama ilivyoKote huko unakokusema tozo zinakuja kama hazipo mtasaidia sana serikali.Unazungumzia luku ambayo mlikuwa mnalia lia juzi tuu hapo.
Unataka raha na maendeleo parallel? unachekesha lazima uumie upande mmja ili kupata kingine.Ni hivi hakuna wajomba wa kukuletea maendeleo,ndio maana Mwendazake alikuwa anawapora pesa kwenye account maana hamtaki kulipa kodi halali ila huduma zikikosekana kazi kulaumu na kukosoa.
Ni hivi hapo ulipo utakuta huwa hutoi risiti kwa wateje wanaonunua au hudai lisiti ukinunua afu unataka serikali itoe wapi pesa kama huwajibiki? Kwa njia kama hizi ambazo kila mtu anatumia ndio safi serikali kukusanya pesa maana hakuna kukwepa ,hii inafidia kule amabako hujawajibika.Serikali kamatia hapo hapo maana hakuna cha tajiri wala maskini unalipa kulingana na matumizi.
Labda anadhani ni kodi ya pangoKumbe ni nini mzee? pole sana
mafuta ya boda boda nayo yamepanda bei kwaio nae atachaji maybe elf tatu na zaid kulingana na umbaliHapa naona fulsa kwa dereva bodaboda mwaminifu. Yaani kama unamtumia pesa elfu 50000/= makato elfu 7500/= si bora umpe bodaboda elfu 2000/= aikimbize fasta
Iyo sio kodi kwa sababu kama kod imeshakwata na mtandao husika mfano ilikua ukitoa au ukituma ela kuna kiasa fulan unachajiwa ambacho umo kuna kod ya serikal ambayo ndio kod pamoja na vat zote zilishakua zinakatwa na hakuna aliekua anakwepa ilo,kilichoongezeka sasa hiv ni wao wenyewe wameita tozo au wazir alisema mchango wa mshikamano sina tatzo na ilo ila tatzo lililokuwepo wameweka kiwango kikubwa sana alaf inajirudia umo umo kwa mtu mwenye unafuu ni sawa ila kwa weng ambao kipato cha kuungaunga ili ni tatzoKumbe ni nini mzee? pole sana
Acha blaa blaa wewe hiyo ni kodi iliyongezekaIyo sio kodi kwa sababu kama kod imeshakwata na mtandao husika mfano ilikua ukitoa au ukituma ela kuna kiasa fulan unachajiwa ambacho umo kuna kod ya serikal ambayo ndio kod pamoja na vat zote zilishakua zinakatwa na hakuna aliekua anakwepa ilo,kilichoongezeka sasa hiv ni wao wenyewe wameita tozo au wazir alisema mchango wa mshikamano sina tatzo na ilo ila tatzo lililokuwepo wameweka kiwango kikubwa sana alaf inajirudia umo umo kwa mtu mwenye unafuu ni sawa ila kwa weng ambao kipato cha kuungaunga ili ni tatzo
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wanakata kodi na makato yote ni lazima na yanatungiwa sheria kwa ajili ya matumizi ya miradi iliyopangwa.Hii ya KWENYE MIAMALA WANACHUKUA BURE MKUU
Kiuhalisia ni kodi ,lkn ukija upande mwingne na ata hao wausika walioleta ilo jambo hawasem kama kod kwa sababu kama ni kod tunayoijua bas ingeenda moja kwa moja kuungana na ile iyokuwepo mwanzo mfano labda mwanzo kama serikal ilikua inaingiza 300 ktk muamala wa kias fulan bas pale pale wangeongeza iko kias ,lkn hii ilivyo ile ya mwanzo imebak vile vile imekuja nyingne ambayo wanasema tozo ya serikal na wanakuambia kabisa wamelenga jambo fulan ni kama vile mchango ambao haupo ndan ya kod japo inaweza kuwa sawa ,ilo sio tatzo tatzo iko kias walichoamua kuchukua ni kias kikubwa kwa walio wengLabda anadhani ni kodi ya pango
tanzanite 'only in tanzaniaMkuu hili swali hua najiuliza sipati jibu.Mfano tu gas ya mtwara sijui mapato yake yanafaida gani kwetu . Maana tunakamuliwa mpaka basi.Waache tu mali asili zetu maana zinaishia sijui wapi so sad
that so....Kiuhalisia ni kodi ,lkn ukija upande mwingne na ata hao wausika walioleta ilo jambo hawasem kama kod kwa sababu kama ni kod tunayoijua bas ingeenda moja kwa moja kuungana na ile iyokuwepo mwanzo mfano labda mwanzo kama serikal ilikua inaingiza 300 ktk muamala wa kias fulan bas pale pale wangeongeza iko kias ,lkn hii ilivyo ile ya mwanzo imebak vile vile imekuja nyingne ambayo wanasema tozo ya serikal na wanakuambia kabisa wamelenga jambo fulan ni kama vile mchango ambao haupo ndan ya kod japo inaweza kuwa sawa ,ilo sio tatzo tatzo iko kias walichoamua kuchukua ni kias kikubwa kwa walio weng
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndio ni kodi ,ila wameipa jina lingine waniita mfuko wa mshikamano ,ninachosikitika mm apo ktk kias uko nyuma ukituma au ukitoa unakatwa kias fulan kinaenda ndio kodi inakuja nyingne inazipita zote yan kod ya serikal mpaka makato ya mtandao ili ndio tatzo ata kama huo mfuko muhim sawa ila wangeweka kias chin ya iki ,mfano ata ktk umeme kuna rea malalamiko na maumivu sio meng kwa sababu kias hakikua kikubwa sanaAcha blaa blaa wewe hiyo ni kodi iliyongezeka
Tutafanyaje na unyonge wetu lishapita ilothat so....
Sina ukigogo wowote ila nataka nikienda hosp nikute dawa nk,nikienda kijijini nifike vizuri.
Wapiga kelele wengi hapa mnaishi mijini ila sisi wa Vijijini hatuna maji, barabara wala vituo vya afya .
Jana nilisanuka nikahamisha hela yangu yote million 2 iliyokuwa mpesa.Tumia bank mkuu hawa watu wanataka kukomba pesa zetu