Azam Pesa: Huduma mpya ya kifedha

Dr Restart

JF-Expert Member
Jul 15, 2021
3,262
17,017
Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Bakhresa Group' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'.

Huduma hii ni kama zilivyo huduma nyinginezo za M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa and the like.

Ili kuielewa zaidi huduma hii, nitaenda katika mtindo wa Maswali na kisha majibu.

Je, Azam wameanzisha mtandao wao wa simu?
Hapana. Azam bado hawajaanzisha mtandao wao kama zilivyo kampuni kadhaa za mawasiliano hapa nchini.

Bali AzamPesa wameingia makubaliano na baadhi ya mitandao kwa ajili ya kuwezesha upatikanaji wa huduma kupitia line za mitandao hiyo.

Mpaka sasa AzamPesa wameshakubaliana na Tigo, Airtel na Zantel. Hivyo huduma hii inapatikana katika line za mitandao tajwa.

Vodacom, Halotel na mitandao mingine bado wapo kwenye mazungumzo. Watakapokubaliana basi huduma hii itawezeshwa katika line hizo.

Je, huduma hi inahusika
na nini?
Kama ilivyo huduma zingine, huduma hii inahusika na;
1.Kutuma Pesa
2.Kutoa Pesa
3.Kulipia bili
4.Kulipia bidhaa za Azam

Je, huduma hii imeanza kufanya kazi?
Ndiyo, huduma hii imeshaanza kufanya kazi kwa wateja wote waliosajiliwa.

Je, najiungaje na huduma hii?
Fika katika duka la wakala na uweze kusajiliwa. Kinachohitajika ni namba yako ya simu pamoja na namba yako ya NIDA. Ndani ya dakika mbili tayari utakuwa umeshasajiliwa kuwa mteja wa AzamPesa.

Je, huduma naweza kupata vifurushi 'bundles' maalum vya Azam?
Hapana. Kama ambavyo nilijwishaeleza hapo juu kwamba Azam bado hawajaanzisha mtandao wao hivyo swala la vifurushi linabakia kuwa maamuzi ya mtandao husika.

Je, huduma hii naipata wapi?
Huduma hii inapatikana katika mikoa yote Tanzania. Ijapokuwa bado haijatapakaa kila mahali lakini upatikanaji wake katika maeneo mengi ya miji ni uhakika.

Je, menu 'ussd' ya AzamPesa ni ngapi?
Baada ya kusajiliwa, utabadili namba ya siri. Hivyo utabonyeza *150*08# na kuweza kupata huduma ya AzamPesa.

Kama una swali lolote kuhusiana na huduma za AzamPesa, basi karibu.

Wasalaam.
 
Kampuni kubwa na iliyoenea katika nchi ya Tanzania pamoja na nchi jirani 'Azam' imeleta sokoni huduma mpya ya kifedha ijulikanayo kama 'Azam Pesa'.

Sawa Yusuf tumekusoma
 
Lipia tangazo aisee

USSR
 
Jicho la mwewe! Hii inalenga kwenye kulipia vifurushi katika ving'amuzi vyao;
1.kutakuwa na punguzo kwa wale watakaotumia Azampesa.

2 Kwa Wateja ambao hawatatumia Azampesa watakuwa wanachewa kupata Huduma baada ya kulipia hivyo itawalazimu kujiunga Azampesa. Muda ni hakumu wa kweli.
 
Tofauti ya hii huduma na SARAFU ni nini?
 
Naweza kufanya malipo nje ya nchi?
 
Hapo kwenye kujisajiri ndo upate huduma, mimi mvivu mmeshanikosa
 
Hii huduma ina makato yeyote kwenda kwa Mtandao host?

Mfano Tigo, nikiingia kwenye menu ya AzamPesa watanikata salio? Na je gharama za kutuma na kutoa Pesa zikoje?

Na kitu gani hasa nitanufaika nacho kwenye AzamPesa ambacho kwenye Mpesa sikipati? Hasa kama situmii King'amuzi cha Azam?
 
Jicho la mwewe! Hii inalenga kwenye kulipia vifurushi katika ving'amuzi vyao;
1.kutakuwa na punguzo kwa wale watakaotumia Azampesa.

2 Kwa Wateja ambao hawatatumia Azampesa watakuwa wanachewa kupata Huduma baada ya kulipia hivyo itawalazimu kujiunga Azampesa. Muda ni hakumu wa kweli.
Kwamba king’amuzi hapa nchini ni Azam tu, si mdio eeh
 
Back
Top Bottom