Chachu Ombara

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
5,897
10,358
Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
  2. Mpina: Nchi yetu imefilisika hadi inapangisha mpaka Bandari? Tusikubali hili

Hili litaweka mazingira ya kufanyika kwa taratibu nyingine, ikiwamo mkataba wa makubaliano, kabla ya kuanza kwa sura mpya ya ushirikiano kati ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na DP World, kampuni ya kimataifa ya usafirishaji yenye makao yake makuu Dubai, Falme za Kiarabu.

Kampuni hiyo, ambayo mbinu yake ni kuondoa vizuizi vya biashara na kuunda mfumo ikolojia wa biashara ili kupanua mtiririko wa biashara ya ndani ya kikanda na kimataifa, itapewa gati ya tano hadi saba kushughulikia

Kwa kuingia ubia huo wa mashirikiano, Serikali inatarajia kuongeza ukusanyaji wa mapato kupitia bandari hiyo kwa asilimia 233.7 katika miaka kumi ijayo.

---

Parliament is this month expected to debate and approve the Intergovernmental Agreement (Iga) between Tanzania and Dubai on developing Dar es Salaam Port, The Citizen can reveal.

This will set the stage for other procedures, including the concession agreement, before the commencement of a new chapter for cooperation between the Tanzania Ports Authority (TPA) and DP World, a multinational logistics company based in Dubai, the United Arab Emirates.

The company, whose approach is to remove barriers to trade and create a trade ecosystem to expand the flow of both intra-regional and global trade, will be given berths five to seven to handle, according to Works and Transport minister Makame Mbarawa.

He told The Citizen in an exclusive interview last week that by working with DP World, the government expects to increase revenue collection through the port by 233.7 percent in the next ten years.

Prof Mbarawa said the target was to raise the amount in revenue that is collected from the port from the current Sh7.79 trillion per year to Sh26 trillion in the next decade.

“The potential private sector investment could enhance the competitiveness of Dar es Salaam Port by improving service quality and increasing efficiency,” he said.

It is on those grounds that more business could be drawn to the port, thus boosting revenue and contributing to Tanzania’s overall economic development.

Amidst current inefficiencies impacting end customers and escalating costs, private sector investment in the Port of Dar es Salaam is being recognised as a potential game-changer.

Prof Mbarawa said the government had made up its mind to partner with DP World in developing the port.

On why the government chose DP World, Prof Mbarawa said the company was uniquely positioned to partner with the government as it is a global logistics company that is capable of delivering the required nationwide transformation across the entire logistics value chain.

The company has a proven track record of managing, operating and investing in trade infrastructure in Africa for over 20 years to the highest international standards.

“We have great confidence in DP World and it is on that ground that we are planning to give to it berths five to seven to handle,” Prof Mbarawa said.

“With DP World, we expect to see improvement in the port’s performance. We expect to see the discharge period of vessels being cut to one day from the current four to five.”

This, explained Prof Mbarawa, could mean the removal of barriers to trade, which is key to driving and increasing trade flows.

The potential impact of private sector investment underscores the port’s strategic importance to Tanzania’s economy and its potential to catalyse economic growth and development in the country.

The potential introduction of cutting-edge technologies, advanced equipment and skilled personnel could enable the port to handle more cargo, alleviate congestion, and expedite ship turnaround times, thereby reducing costs for end customers.

Tanzania Shipping Agents Association (Tasaa) chairman Daniel Malongo said he had confidence in DP World, adding that it was among the world’s top four companies in the running of ports.

He commended the way the company has mechanised its handling equipment as well as operating and revenue collection systems.

“Transparency is of high degree since every movement from the time container is coming from the vessel to the port and ICD (Inland Container Depot), is reflected in the system,” said Mr Malongo.

“This will be of paramount importance to our country since it provides no loophole for revenue leakage.”

Tanzania Freight Forwarders Association (Taffa) president Edward Urio was also upbeat, saying DP World will add value to Dar es Salaam Port’s performance.

He said the company will bring in innovation, efficiency and competition to other operators handling berths eight to 11.

“They (DP World) have a good reputation. They handle some of the biggest ports in the world,” said Mr Urio.

Going by the TPA figures, the port handled 17 million metric tonnes of cargo in 2021, up from 14 million tonnes recorded in 2017, thanks to expanded capacity, marketing drive, recovery from Covid-19 and an enabling business environment.

It is believed that the involvement of the private sector brings the prospects for improved connectivity and the potential for expansion and modernisation of facilities at the port.

Stakeholders believe that the involvement of the private sector will pave a way for developing new terminals, refurbishing existing ones, and providing additional services such as warehousing, logistics and ship repair.

This could in turn create new job opportunities, boost revenue, and draw more business to the port.

Moreover, this potential investment could stimulate economic diversification by attracting new sectors and businesses to the port.

DP World investment in Tanzania will modernise the port’s infrastructure by investing in the equipment, processes and systems at the port of Dar es Salaam to bring operations to world class levels of productivity, the company said in its recent statement.

The statement said the company will improve ease of doing business by using modern technology to shape the visibility, transparency, and speed up transit of cargo across Tanzania ports, Inland Container Depots and borders.

Source: The Citizen
 
Hii Inji ya kijinga kweli, sijui kwann JPM alifariki.

Ni hasara sana Nchi kuongozwa na Vilaza wasokua na ubunifu ,na ambao akili zao zote zimeelekezwa kwenye kubebwa bebwa na misaada.

Sasa DSM anapewa mwarabu, Bagamoyo Mchina.

Katika Mataifa ya wenye Akili, kuna Mahali ni LAZIMA paendeshwe na Serikali, ni LAZIMA.
 
Serikali imefanya kazi kubwa kuwekeza mabillioni ya hela kuongeza kina cha kupokea meli; sasa hivi bandari ya Dar inaweza pokea meli ya ukubwa wowote.

Shughuli iliyobaki ni ndogo ya kuongeza cranes za kisasa za kutolea mizigo kwa kasi nchi ipate hela zote hizo wenyewe; muda huo ndio wanaenda tafuta mwekezaji.

Only in Tanzania
 
Serikali imefanya kazi kubwa kuwekeza mabillioni ya hela kuongeza kina cha kupokea meli; sasa hivi bandari ya Dar inaweza pokea meli ya ukubwa wowote...

Yaaanii me nashanga...wamegharamiikia kuongeza gati wamenunua na mshine za kisasa (ship to shore gantry crane) na hazijaanza ata kaziii ndo kwanzaaa zinamalizikia installation na wametumia gharama kubwa sana kununua izo mashine mpk walipeleka watu trainning ireland..leo wanabinafsisha kwelii?? dah
 
Hii Inji ya kijinga kweli , Sijui kwann JPM alofariki.

Ni hasara sana Nchi kutongozwa na Vilaza wasokua na ubunifu ,na ambao akili zao zote zimeelekes kwenye kubebwa bebwa na misaada...
Mwaga povu babaa, ndiyo maana umejiita mbweha! Hata wewe muafrika usiyekuwa kilaza nenda tu na fedha zako utapewa hiyo bandari.

Kufa kwa Magu kwa nini usingezuia basi? Sisi wengine hatuna uwezo.
 
Yaaanii me nashanga...wamegharamiikia kuongeza gati wamenunua na mshine za kisasa (ship to shore gantry crane) na hazijaanza ata kaziii ndo kwanzaaa zinamalizikia installation na wametumia gharama kubwa sana kununua izo mashine mpk walipeleka watu trainning ireland..leo wanabinafsisha kwelii?? dah
Unashangaa nini wakati ni nyinyi hapa kila siku munalalamika kuwa bandari inaendeshwa kwa hasara na mizigo inacheleweshwa? Mbona hamueleweki?
 
Yaaanii me nashanga...wamegharamiikia kuongeza gati wamenunua na mshine za kisasa (ship to shore gantry crane) na hazijaanza ata kaziii ndo kwanzaaa zinamalizikia installation na wametumia gharama kubwa sana kununua izo mashine mpk walipeleka watu trainning ireland..leo wanabinafsisha kwelii?? dah
Only in Tanzania, kuna magati machache wanadai yamebakia hayana hizo cranes za kisasa; ndio wameamua kutafuta mwekezaji.

Ni deal la watu, it doesn’t make sense. Utoe mabillioni kuwapa watu ambao awajawahi kushika majembe wakabahatishe kilimo; halafu ushindwe kumalizia cranes za magati machache yaliyobakia.

Ni ufisadi tu
 
tunachoweza wengine nikutafuta kazi na kulipwa mishahara mikubwa tu na hao DP world, mengine tuwaachie "headless chickens" tu
 
Unashangaa nini wakati ni nyinyi hapa kila siku munalalamika kuwa bandari inaendeshwa kwa hasara na mizigo inacheleweshwa? Mbona hamueleweki?
Umewah ona nikilalamika? sikuzote mimi nasupport utendaj kaz wa bandar..kwa vifaaa ambayo wanatumia na kaz wanayoifanya wanajitahidi sanaaa...ucheleweshaj wa kontena bandarn uko upande wa TRA...husiongeee kitu kama huijui bandar
 
Hii Inji ya kijinga kweli , Sijui kwann JPM alofariki.

Ni hasara sana Nchi kutongozwa na Vilaza wasokua na ubunifu ,na ambao akili zao zote zimeelekes kwenye kubebwa bebwa na misaada...
Soma uelewe sio unakurupuka kukomenti na kupaka utasababisha wakosoaji wote tuonekane wajinga
 
Umewah ona nikilalamika!?? sikuzote mimi nasupport utendaj kaz wa bandar..kwa vifaaa ambayo wanatumia na kaz wanayoifanya wanajitahidi sanaaa...ucheleweshaj wa kontena bandarn uko upande wa TRA...husiongeee kitu kama huijui bandar
sikumaanisha wewe in person lakini humu kwenye jf ndiyo wanakuja walalamikaji.
 
Back
Top Bottom