19 February 2024
STRATEGIC MEETING FOR STRENGHTHENING BILATERAL COOPERATION BETWEEN THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA AND THE ARAB REPUBLIC OF EGYPT IN THE TRANSPORT SECTOR
View: https://m.youtube.com/watch?v=CUB_CDiiN5M
Hayo yamebainika leo katika kikao cha pamoja baina ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na nchi ya Jamhuri ya Kiarabu ya Egypt ... ujumbe mzito ukiongozwa na waziri wa Uchukuzi wa Misri Lieutenant-General Engineer Kamel Al- Wazir aliyefuatana na wabunge wa kamati za kudumu za bunge la Egypt, wafanyabiashara wakubwa wa kampuni mama kama ELSEWEDY n.k na balozi wa Misri nchini Tanzania.
Huku Prof. Makame Mbarawa akiwa ameongozana na maafisa waandamizi wa wizara, wakurugenzi wa TRC, TPA, ATCL, Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) walikuwepo ukumbini kwa ajili ya kunadi (sekta zao ndogo) sub sectors zao mkutano huo wa pamoja jijini Dar es Salaam Tanzania.
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesema pamoja na maboresho yaliyofanywa katika bandari ya Dar es Salaam hadi sasa , bado kuna haja ya kuongezwa gati namba 13 hadi 15 ili kuongeza ufanisi wa bandari hiyo kubwa ya Tanzania.
Katika kufanikisha kazi hiyo inayotakiwa bandari ya DSM , Profesa Mbarawa ametoa ombi kwa waziri wa uchukuzi wa Egypt Luteni Jenerali mhandisi Mh. Kamel El Wazir pamoja na ujumbe alioongazana nao kuwa rasmi zinakaribishwa kampuni za uwekezaji kutoka Misri kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye ujenzi wa magati hayo bandarini.
Profesa Mbarawa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo Jumatatu, Februari 19, 2024 katika kikao cha Wizara ya Uchukuzi ya Tanzania na Misri kilichohusu ushirikiano wa uwekezaji katika sekta ya uchukuzi.
Waziri wa uchukuzi wa Misri, luteni jenerali mhandisi mh. Kamel el Wazir asema haya ya leo ni kufuatia ziara aliyofanya rais Abdel Fattah al-Sisi wa Misri nchini Tanzania na kisha Mh. Samia Hassan wa Tanzania naye kufanya ziara nchini Misri.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, mwaka 2021 tarehe 06 Desemba, alizindua kiwanda cha kutengeneza vifaa vya umeme cha Elsewedy (Elsewedy Electric East Africa Ltd), kilichopo Kigamboni Jijini Dar es Salaam.
Kiwanda hicho cha El Sewedy katika mji mpya wa viwanda Kigamboni Dar es Salaam kitakuwa na uwezo kwa kuzalisha tani 15,000 za nyaya za umeme, transfoma 1,500 na mita 100,000 za umeme kwa mwaka zitakazotumika nchini na kuondoa utegemezi wa kununua bidhaa hizo nje ya nchi na nusu ya bidhaa hizo zitauzwa katika masoko ya nje na kuongeza fedha za kigeni.
Pia ujenzi wa bwawa kubwa la uzalishaji umeme megawatts 2115 la Julius Nyerere JNHPP unaoendelea Rufiji ni mfano wa miradi mingi ya mfano wa udugu baina ya nchi hizi mbili.
More Info : Ushoroba wa Kati Misri kuwekeza reli
CAIRO – 10 January 2024:
Minister of Transport Kamel al-Wazir stated Wednesday in a meeting with the Rwandan ambassador that Qalaa Holdings would implement a railway line between Tanzania's Dar es Salaam Port and Burundi, passing through Rwanda's Kigali, and another between Kenya's Mombasa Port and Uganda.
It is noted that Rwanda is a landlocked country that relies on Kenya's Mombasa Port and Tanzania's Dar es Salaam Port for import and export. In that context, the meeting tackled establishing a logistic zone in Rwanda to store Egyptian exports.
The minister also noted the salience of the Vic-Med project aiming to connect Lake Victoria with the Mediterranean through the 11 Nile Basin countries, including Rwanda.
The project requires rehabilitating 6,600 kilometers of the waterway; implementing a number of constructions to overcome natural barriers; revamping some existing inland ports and building new ones; introducing multimodal transport in some areas; establishing vocational training centers specialized in inland transport; and modernizing fleets of member states.
Further, various countries, including Rwanda, can be linked to Cairo-Cape Town Road, which Egypt aims to establish to bolster trade exchange between African states. The road will stretch on 10,228 kilometers, including 1,155 kilometers in Egypt, crossing nine countries that are Egypt, Sudan, South Sudan, Ethiopia, Tanzania, Kenya, Zambia, Zimbabwe, and South Africa.
The minister and the ambassador equally discussed cooperation in human capacity-building, technical collaboration in constructing roads and bridges, and boosting trade exchange leveraging the African Continental Free Trade Agreement (AfCFTA) that went into effect in 2019.

Egypt's Qalaa Holdings to establish 2 railway lines in Eastern Africa