Kampuni ya APSEZ mbioni kupata tenda ya gati Bandari ya Dar es Salaam

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,051
49,735
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar.

---

APSEZ SAID TO ACQUIRE BERTHS AT DAR ES SALAAM PORT

Adani Ports and Special Economic Zone Ltd (APSEZ) is said to be close to winning the rights to develop and run some cargo berths at Tanzania’s main port of Dar es Salaam as billionaire Gautam Adani emerges from the Hindenburg episode to make his first major acquisition and the third overall globally by his port’s unit in recent years, multiple sources said.

ET Infra could not ascertain the value of the deal that will put APSEZ firmly on course to reach its goal of becoming the world’s largest port operator by 2030.

Tanzania Ports Authority (TPA), the state-owned entity that oversees ports in the East African nation, is expected to announce the winner, in the next few days, of a dual tender to privatise Dar es Salaam Port, which handles some 95 percent of that country’s international trade.

APSEZ, according to a source briefed on the matter, is said to have teamed up with Abu Dhabi Ports Group to place a joint bid for some break bulk/dry bulk and container berths at Dar es Salaam Port - the main gateway to Tanzania’s hinterland and the Great Lakes region.

The port also plays a major role in supporting the economies of the neighbouring landlocked countries of Zambia, Democratic Republic of Congo, Burundi, Rwanda, Malawi, Uganda, and Zimbabwe.

Besides, the port is strategically located to serve as a freight link to and from East and Central Africa countries as well as to Middle and Far East, Europe, Australia, and America.

Source: Adani Ports Advances Global Expansion Plans With Prospective Deal At Dar Es Salaam Port In Tanzania

My Take
Serikali tunaomba ufafanuzi,Je kutakuwa na Kampuni zaidi ya 1 za kutoka Uarabuni Kuendesha Bandari yetu?
 
Wamiliki?
Soma vizuri
Screenshot_20230719-145939.jpg
 
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar.

My Take
Serikali tunaomba ufafanuzi,Je kutakuwa na Kampuni zaidi ya 1 za kutoka Uarabuni Kuendesha Bandari yetu?
Adani ports ni kampuni kutoka India.
 
Huu ni Upotoshaji wenye lengo la kuwaondoa Watanganyika kujadili yanayojiri kuhusu ugawiaji wa Bandari kwa DPW.

Adani ports sio ya Waarabu Itoshe kusema Hicho chanzo, yaani Swara...... ina sadikiwa kuweka habari za kupotosha.

Mleta mada aonywe.
 
kinachotakiwa, tutunge sheria ya kunyonga watu wanaotuingiza chaka kama ilivyo china, na hata kama wakifa kabla hatumaona madhara, makaburi yao yafukuliwe yakazikwe eneo la gereza. hii italeta adabu. manake wanachofanya, huwa wanaingia chaka, wanatusababishia madhara makubwa, wanakufa na kutuachia msala. watu wenyewe hao karibia wote wameshazeeka watakuwa na uchungu na taifa kweli badala ya kuchuma wajaze mifuko ya watoto wao wakifa watoto wao waishi viziri.
 
Aaah bana "ugawiaji" tena? Sera yetu tukamate ya kuuzwa bandari tu.

Unafikiri sasa hivi tuna turufu ipi nyingine? Mama kakaba kila sehemu.
 
kinachotakiwa, tutunge sheria ya kunyonga watu wanaotuingiza chaka kama ilivyo china, na hata kama wakifa kabla hatumaona madhara, makaburi yao yafukuliwe yakazikwe eneo la gereza. hii italeta adabu. manake wanachofanya, huwa wanaingia chaka, wanatusababishia madhara makubwa, wanakufa na kutuachia msala. watu wenyewe hao karibia wote wameshazeeka watakuwa na uchungu na taifa kweli badala ya kuchuma wajaze mifuko ya watoto wao wakifa watoto wao waishi viziri.
Ndiyo maana wakajiwekea kinga za kutoshitakiwa
 
Kwa mujibu wa Serikali DP World itapata 8% ya uendeshaji wa Dar Port huku kampuni nyingine kutoka Emarates Adani Ports Group nayo Iko mbioni ku strike deal ya Kuendesha ports ya Dar.

---

APSEZ SAID TO ACQUIRE BERTHS AT DAR ES SALAAM PORT

Adani Ports and Special Economic Zone Ltd (APSEZ) is said to be close to winning the rights to develop and run some cargo berths at Tanzania’s main port of Dar es Salaam as billionaire Gautam Adani emerges from the Hindenburg episode to make his first major acquisition and the third overall globally by his port’s unit in recent years, multiple sources said.

ET Infra could not ascertain the value of the deal that will put APSEZ firmly on course to reach its goal of becoming the world’s largest port operator by 2030.

Tanzania Ports Authority (TPA), the state-owned entity that oversees ports in the East African nation, is expected to announce the winner, in the next few days, of a dual tender to privatise Dar es Salaam Port, which handles some 95 percent of that country’s international trade.

APSEZ, according to a source briefed on the matter, is said to have teamed up with Abu Dhabi Ports Group to place a joint bid for some break bulk/dry bulk and container berths at Dar es Salaam Port - the main gateway to Tanzania’s hinterland and the Great Lakes region.

The port also plays a major role in supporting the economies of the neighbouring landlocked countries of Zambia, Democratic Republic of Congo, Burundi, Rwanda, Malawi, Uganda, and Zimbabwe.

Besides, the port is strategically located to serve as a freight link to and from East and Central Africa countries as well as to Middle and Far East, Europe, Australia, and America.

Source: Adani Ports Advances Global Expansion Plans With Prospective Deal At Dar Es Salaam Port In Tanzania

My Take
Serikali tunaomba ufafanuzi,Je kutakuwa na Kampuni zaidi ya 1 za kutoka Uarabuni Kuendesha Bandari yetu?
Wewe si ndo serikali afu ynajiuliza??! Hahahahahhahah
 
Habari kamili hii hapa.....

1689778643764.png

1689778660642.png

1689778679809.png

1689778693019.png

1689778709311.png

1689778723190.png

1689778737096.png

1689778750150.png

1689778764259.png

1689778776733.png

1689778789685.png

1689778803179.png

Source:

APSEZ said to acquire berths at Dar es Salaam Port - ET Infra
 
Attachments

  • APSEZ.pdf
    482.2 KB · Views: 8
Nilisikia hiyo kampuni ipo ndo mbadala wa Ticts na inafanya kazi Kwa Sasa.

Ila wafanyakazi ni wale wale wa Ticts kitu hicho.
 
Unaogopa nini ni mjadala unawaingia wengi kwa mama tatizo vyombo vikuu hawatangazi maoni ya watu wote zaidi ya serokali.sisi na wengine maoni twayapata katika maeneo mengi kama haya.vinasema kweli.
 
Walioshauri adani kuingia tanzani ni watanzani wenye ushawishi.walioshauri DP Kuja kuwekeza ni watanzania wenye ushawishi huko ikulu.ikulu ni mahali patakatifu alishasema muasisi wetu
 
Back
Top Bottom