Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,879
- 8,800
Kwani mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anatokea mkoa gani?Kule atawaambia kuwa serikali haikuleta tetemeko. Yaani Kagera wakimpa kura Baba Jerry nitawashangaa sana tena sana.
Kwani mwenyekiti wa tume ya uchaguzi anatokea mkoa gani?Kule atawaambia kuwa serikali haikuleta tetemeko. Yaani Kagera wakimpa kura Baba Jerry nitawashangaa sana tena sana.
Hoja mfu kabisa.ni mahabusu wangapi ambao hurusiwa kwenda kuzika na kurudi mahabusu?Atawaeleza nini wana kagera???
Kawatukana, kala hela zao za tetemeko, kamtesa mtoto wao Kabendera hadi mama yake amefariki na mbaya zaidi hakumruhusu hata kwenda kumzika
Kwahiyo matarajio yako Ni kwamba,atakosa Kura kabisa 🤔Kule atawaambia kuwa serikali haikuleta tetemeko. Yaani Kagera wakimpa kura Baba Jerry nitawashangaa sana tena sana.
Sawa NshomileWenye chuki mnawasemea mioyo wahaya.
Mngejua wahaya wepesi kusamehe na kufocus na maendeleo ndio maana wengi ni wasomi,,,
Ukiishi nao karibu utajifunza mengi.
Na watampa jiandae kushangaa tu.Kule atawaambia kuwa serikali haikuleta tetemeko. Yaani Kagera wakimpa kura Baba Jerry nitawashangaa sana tena sana.
Watu walitulia dakika tatu Kwa ajili ya Bomani na ajali iliyoua watoto.Mbona haikutangazwa??
Me nadhani hilo itapendeza zaidi likifanyika baada ya uchunguzi ili chanzo cha ajali kijulikane. Anapaswa kutoa rambirambi.Mhe. Rais kwa vile unaenda Mkoa wa Kagera ingependeza kama ungewasaidia Tshs.50,000,000 (Millioni Hamsini) kuirudisha shule hiyo katika hali yake iliyokuwa nayo hapo awali. Nawasilisha.
🤪🤪Ile dose ya Mafinga ya jana ilikuwa kali sana. Kila baada ya Lissu kuhutubia wanaoanza umpigia kura wanaongezeka.
Hiyo kesho agiza agiza na amri zitakuwa nyingi. Leo atakuwa anachambuliwa taarifa nyeti na nyoka wake wa kagera ili kesho akazimwage kwa ustadi mkubwa.Na si ajabu ukasikia kuna viongozi watakaowajibishwa. Pia kutoa amri/mchango wa kujenga shule haraka. Nina mashaka na Bw Yule.
#CCMLIVE: MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. DKT. #MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA #BUKOBA
#CCMLIVE: MGOMBEA URAIS KWA TIKETI YA CCM MHE. DKT. #MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA #BUKOBA https://www.facebook.com/tanzaniaccm/videos/356271548864552/?vh=e&extid=TeYjZ9P8xXSfDlzJ&d=n

Takukuru wapo makini sana wanafuatilia.Hama kweli kampeni ni kazi ngumu.
Watu wananyeyekea hadi kubadilishi sauti, wanakuwa wanyonge hadi wanatia huruma.
Ila hili la kumpa mwalimu chai wakati huu wa kampeni si rushwa hiyo?