Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

Atawaeleza nini wana kagera???


Kawatukana, kala hela zao za tetemeko, kamtesa mtoto wao Kabendera hadi mama yake amefariki na mbaya zaidi hakumruhusu hata kwenda kumzika
Kwani tokea litokee tetemeko hajawai kwenda huko? sub unadhani tetemeko lilitokea mkoa wote wa Kagera.
 
Eh!Eh!Eh!Eh! Yule Mzilankende anaenda tena huko? Na sasa mmeongeza maafa ya moto! Sijui wasanii wataendelea na burudani zao wakati kuna msiba? Je bila wasanii wananshomile watakuja kusikiliza vidonge vyao? Nadhani habari ya MV Victoria Hapa Kazi Tu itakuwa imewafuta machozi ya tetemeko, ukimwi, Katerero, mto ngono, vita ya kamera na huo moto wa shule ya Byamungu Islamic?!!?!? Poleni wana Kagera kuweni na moyo wa upendo na subira!
 
Atawaeleza nini wana kagera???


Kawatukana, kala hela zao za tetemeko, kamtesa mtoto wao Kabendera hadi mama yake amefariki na mbaya zaidi hakumruhusu hata kwenda kumzika
Subiri nyomi lake, watu tutaanzia Katerero, Rwambaizi hadi Kilulumile kote mpaka Karagabaine! Kabendera kitu gani kuwadi wa beberu huyo! Meli tunapanda, sababu ya Magu, kapanua uwanja wa ndege, ATC precision zinapishana kama daladala! Hatuambiwi hatusikii wapinga maendeleo, Magu tano tena!
 
Amewai kwenda kule lini kupiga kampeni?
Sizungumzii kampeni nazungumzia kwenda kwenye ziara za kikazi,na ata akienda Leo atapokelewa tu na watu wote muwe mnajaribu basi kufanya uchunguzi mitaani kuuliza wananchi nani watamchagua maana mitandaoni upotoshaji ni mwingi sana, nakushauli nenda vijiweni ,masokoni, migahawani, kwenye bodaboda na mitaani kila eneo wahoji watu kwa siri angalau 10 kila eneo alafu utapata majibu,unaoona wamejaa kwenye mikutano hao ni wale wale tuliowazoea ambao wanamsemo wao 'BORA KUZALIWA ULAYA MBWA KULIKO AFRIKA BINADAMU" hivyo jipe home work ya muda mfupi alafu lete mlejesho.
 
Mhe. Rais kwa vile unaenda Mkoa wa Kagera ingependeza kama ungewasaidia Tshs.50,000,000 (Millioni Hamsini) kuirudisha shule hiyo katika hali yake iliyokuwa nayo hapo awali.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom