Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
Video inakuja
Yaani anaamini kizazi cha sasa hakiwezi kufikiri mpaka kisaidiwe, kiaminishwe?Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
wapo akina mwaipopoHivi kabisa kuna watu wanamuona huyu mama ana akili hata kidogo kichwani?
Sawa anahoja,cha kujiuliza Kwa nini vijana wakubali kunywa sumu,na wao wako wapo? Hakuna suruhisho?Huyu kweli juzi alijipanga kupiga cm akakatishwa na zomea zomea
Hatudanganyiki. Watu wanatekwa, watu wanauwawa, watu wanabambikiwa kesi harafu unaibuka kusema vijana tuna danganywa. Sasa unataka tuamini kuwa watu hawatekwi, hawauwawi. Hili lihippo kiazi kweli. Basi kama ni hivyo ngoja waendelee kutudanganyaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao.
Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa Sheria uliofanyika Jijini Arusha.
Amesema katika mazingira ya sasa ya ushindani wa Kimataifa, baadhi ya Vijana wamekuwa wakishawishiwa na kulaghaiwa ‘Kumezeshwa Sumu’ kuichukia Nchi yao pamoja na kuhujumu juhudi za maendeleo zinazofanywa na Serikali zao.
“Nimemsikia mmoja wa Viongozi wakubwa duniani akisema kuwa yeyote anayewazidi kwa kasi ya maendeleo ni adui yao, Nchi zetu zinapopiga hatua mbele, wengine wanatafuta njia na mbinu za kuzivuta nyuma,” amesema Rais Samia.
Ameongeza kuwa dunia inaendelea kushuhudia Mataifa yakihujumiana kwa njia mbalimbali, huku baadhi ya Vijana wakipewa taarifa na mitazamo inayowafanya kuhujumu Mataifa yao wenyewe.
“Tunashuhudia Vijana wakilaghaiwa, wengine wakimezeshwa sumu dhidi ya Mataifa yao na kushawishiwa kuhujumu uchumi unaojengwa kwa nguvu kubwa,” amesema.
Commonwealth wameisikia hii?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao.