serikali.

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Biashara ya madawa ya kulevya aina ya pombe inafaida sana kwa serikali.

    Miaka ya 1800 katikati mskaburu wa Afrika Kusini waliunda taifa lao la Orange Free State. Wakakaa na kupanga mikakati ya nchi. Wakaona moja ya njia ya uhakika kupata pesa ni kupitia kodi kwenye pombe. Pombe ni madawa ya kulevya yenye faida sana. Basi wakapiga marufuku import ya pombe ili...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania kuzaliwa kwa makundi mfano mafia Italy ilikuwa sababu kukosa haki kwenye serikali.

    Kichwa cha habari kinaweza kuwa tofauti na maelezo hapa. Ukiona serikali imeshindwa kufanya haki sasa inawaza kila mtu ni gaidi kwao. Hii history inaeleza nchi nyingi ambazo zimepitia serikali za ovyo na kugeuza haki kuwa ugaidi.
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mji mdogo wa Ikwiriri katika Wilaya ya Rufiji, hauna machinjio rasmi ya Serikali

    Mimi ni mkazi wa Mji Mdogo wa Ikwiriri uliopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji, Mkoa wa Pwani. Mji wa Ikwiriri unakua kwa kasi na tayari una idadi kubwa ya wakazi, lakini cha kushangaza hadi sasa hauna machinjio rasmi ya mifugo kama ng’ombe, mbuzi na kondoo kwa ajili ya shughuli za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuliko kupewa msaada kama huu bora wachimba dhahabu wa Katoro wawe wanaichangia serikali.

    Kama watu wanafanya harusi ya zaidi ya bil 3 alafu wanaacha serikali yao inapewa msaada wa bil 2.6 kwa manyayasho. Hapo hakuna busara
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  7. R

    JamiiForums Tanzania Adv. Madeleka: Hakuna Jaji anayeweza kuwa huru kama alikuwa msaidizi wa Rais. ~ 50% ya majaji walikuwa mawakili wa serikali. Hawawezi tenda haki

    Sikiliza shule ya haki with regard to our Judges. Huwezi kutenda haki kama uliteuliwa na Rais kuwa Jaji. Majaij duniani kote wanaomba kazi ya Ujaji kwa kupitia well regulated strict interview. Msikilize Peter Madeleka, Wakili
  8. R

    JamiiForums Tanzania Sigrada: Oktoba 29 inaniumiza sana, nailaani serikali. Hakukuwa na uchaguzi ni Uchafuzi

    Mbunge wa Viti Maalum mkoani Njombe kupitia Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Sigrada Wilhem Mligo, ameelezea kuumizwa na matukio yaliyojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, akitaja kuwa ulikubaliwa na vitendo vya ukatili vilivyosababisha vifo vya raia wasio na hatia. Akizungumza...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ummy Mwalimu Na Rais Samia Ikulu Wakiangalia na kufuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu Ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia. Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wimbi la ‘single mothers’, wa kulaumiwa zaidi ni Wazazi na Serikali

    Siku za hivi karibuni single mothers wamekuwa wakilaumiwa, kukejiliwa na kurushiwa maneno mengi ila ukweli ni kwamba wao ni matokeo tu na sio sahihi kuwananga wao badala ya kuangalia chanzo. Ukweli ni kwamba chanzo kikubwa cha single mothers ni wazazi kushindwa kuwahudumia watoto wao wa kike na...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Tetesi: AZAKI ndiye mpangaji na mfadhili mkuu wa matukio ya kigaidi na vurugu za Okt. 29.2025

    Asasi za Kiraia hususani zile zilizotajwa na tume ya jaji chande ndie mpangaji, mratibu na mfadhili mkuu wa magaidi na wa matukio yote ya vurugu za Okt 29.2030. Ndizo zilizotoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa magaidi waliosababisha uharibifu na maafa mabaya sana yaliyotokea nchini kuanzia...
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anasimama anasema foleni inasababishwa na magari machafu yasiyo na AC

    Leo nilikutana na clip moja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Chalamila. Katika clip hiyo Chalamila anasema moja ya sababu inayosababisha foleni zisiishe ni uwepo wa magari yenye namba A, na mengine ambayo ni machafu na hayana AC (kiyoyozi). Halafu bado mna matumaini ya kuletewa maendeleo na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Mfumo wa Action Plan na Uwajibikaji kwa Viongozi Wakuu wa Serikali.

    Katika kuimarisha utawala bora, uwajibikaji wa viongozi, na ufanisi wa utekelezaji wa sera za maendeleo, inapendekezwa kuanzishwa kwa mfumo rasmi wa Action Plan Governance Framework utakaoweka wajibu wa wazi kwa viongozi wanaoingia madarakani, hususan Rais au Mawaziri. Mfumo huu utalenga...
  14. Zuella zuu

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani na sarafu yetu?

    Hizi sarafu zilivyopotea mitaani serikali ina lengo gani? Kwamba ndio tuanze kutumia mia tano kama sarafu ndogo kuliko? Na kama ikiwa hivyo vipi kuhusu pesa yetu inapoelekea? Wataalam naombeni mnifafanulie tafadhali
Back
Top Bottom