Tumbili wa Mjini
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 3,943
- 8,165
Ramadhan kareem
Kumbusha kwani hakika ukumbusho huwafaa waumini ambao wamejitakasa basi hao ndio watakao fauluNa malaika hao waandishi huwa wanapeana shifti au kubadilishana zamu ,na mda wao ni baada ya swala ya al asir na ndio maana tunaambiwa sana tusiache kuitikia adhana ya swalla ya al asir ile mida ya saa kumi,na ndio maana Allah amesema na swala zote mziswali na hasa ile swala ya kati na kati,ipo kati kwa kati kwasababu kuna asubuhi alfajir na adhuhur mbili hizo halafu jioni magharibi na isha mbili hizo,kwahiyo ya kati ni al asiri
Kwahiyo na mda huo wa al asir matendo yetu yanapandishwa mbinguni kwa Allah,yaani wanao zamu al asir ya leo wanapanda na matendo yetu ala asir ya kesho,na inasemwa wakati huo wa kubadilisha shift mbingu huwa wazi
Na Allah ingawa anajua kila kitu kinachoendelea,lkn huwa uliza hao Malaika je mmewaachaje waja wangu,malaika wanajibu tulipoingia tuliwakuta wanaswali na tumewaacha wanaswali pia
Shukrani sana ukhty,Allah atufanyie wepesi soteKumbusha kwani hakika ukumbusho huwafaa waumini ambao wamejitakasa basi hao ndio watakao faulu
Allah atufanyie wepesi Insha'Allah
جزاك الله خير