Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda
yaani self defense
🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥
Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji?
Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
Sikiliza clip! Sina la kuongeza , si mimi bali Ado Shahibu!
Hotuba ya jana ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba imewakosea sana Watanzania na ACT Wazalendo tusipoweza kusimama kwa kujaiamini na kuusema ukweli hakika chama hichi akitopendwa na Watanzania
NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii .
Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka
Mnamjua au niwatajie ......
mission paralyzed
Mei 20, 2026 kulitokea tukio linalodhaniwa kuwa la utekaji wa David Djumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Djumbe alifanikiwa kuwatoroka watekaji waliojitambulisha kuwa ni maofisa wa polisi.
Akisimulia tukio hilo, David Djumbe amesema...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Maana yake Kuna Ombwe kubwa linatengenezeka .
Sina Uhakika Tena Kama Askari Barabarani wanaweza Kuyasimamisha Magari yenye hizi namba.
Hawawezi kwa sababu Vichwani mwao na wao wanaamini ni ya Akina Abduli.
Kiasi kwamba huu uwazi , Umetengeneza Mazingira Mazuri kwa WATU WABAYA .
Leo hiii...
Mapungufu: Tume kuwauliza Polisi na usalama nani ni watekaji na wauaji? wakati tunajua watekaji wa wanasiasa na wanaharakati ni Polisi na wauaji wa vijana October 29 ni polisi na usalama
-Aonaye haambiwi tazama. Baada ya wenzao kudakwa Kenya nikama kikosi cha watekaji na wauwaji wa watanganyika kipo likizo kidogo.
Je hii inaashiria nini?
Je nikwamba wamegundua project imeanza ku backfire?
-Je malipo hamna?
-Project imeisha?
Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti.
Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni.
Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo...
Mmoja wa watuhumiwa wa utekaji huko nchini Kenya ana asili kama Mzanzibari au Mwaraba kama sio Msomali kulingana na picha zao na sio mtanganyika kwa asili
Je, wenzangu mnahisi huyo mtu asili yake ni wapi kwa kumtazama.
Najaribu kuweka picha zao hapa.
Kukamatwa kwa watekaji watanzania na meli ya madawa ya kulevya ni wazi Tanzania imeingia kwenye list ya nchi yenye wahalifu wa kimataifa.
Haya ndio malipo ya Serikali haramu mnategemea nini ?
Watekaji hawa huko kenya wanakamtwa tu nje ya nchi na sio kwenye shamba la bibi huku hawakamatwi vipi...
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu...
hizi
kidole
kuelekea
kupambana
kupambana na utekaji
mwezi wa ramadhani
namna
ndoa
nguvu ya sadaka
nyingine
pete
polisi
ramadhan
ramadhani
saumu
uislamu
unafiki
uonevu
uonevu wa polisi
ushahidi
utekaji
utekaji tanzania
watekaji
watu wasiyojulikana
zaidi ya
Yoyote anayepinga uharamu na ushenzi na anaye simama na watanzania ndio mtu mwenye mchango chanya kwenye taifa. Tutapata wapi mtu mwengine kama huyu tukivuka hapa anastahili kuongoza JWTZ kama mkuu wa majeshi.
esha
Jeshi limejaa damu za watanzania kuna vibaka, wezi, wauwaji, wala rushwa na watekaji mpaka maiti.
Vitendo hivi vilivyoonekana wazi ndani ya jeshi havikubariki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu ni ushenzi na upumbavu na wahusika wanajijua, wanajua kwa matendo yao baadae wataona uchungu...
Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu .
Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
Heri ya Mwaka Mpya Wakuu
Huyu Bibi anatuona sisi wajinga na wapumbavu .
Siku anaongea na wazee walevi wa Dar Es Salaam alitunanga kuwa nguvu iliyotumika ilistahili, maana aliridhia na alitoa order ya kuua ndugu zetu mbaya zaidi akaenda kuwazika huko misitu ya kondo na ziwa Victoria.
Mbaya...
Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri.
Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.